Anautesa moyo wangu

lover

New Member
Dec 13, 2011
4
1
guys mi nina mpenzi ambaye tuliachana then tukaludiana,tena kwa kuwaacha wapenzi tuliokua nao.The problem ni kwamba nashangaa sasa ivi mwenzangu hanijali tena.nikimtumia msg ajibu,amekua mkali nikiongea nae na wala ajisikii kunipigia.yan naona kiufupi ajisikii kuhusu mimi,nampenda sana sijui nifanyeje na najua tuliludiana kwasababu tulikua tunapendana sana.nifanyeje wadau
 
Kwanini watu wengi upendelea kula matapishi yao?
 
Hakupendi huyo, ACHANA nae fasta la sivyo utaumia sana... Anaendelea na wake na una uhakika gani aliachana na mpenzii wake alipurudiana na wewe?
 
mpaka hao ujue umeshaongeza wigo wa kupata ngoma. bila shaka utaanza na mkakati wa kumrudia huyo 'jamaa' yako wa pili. Pole sana
 
guys mi nina mpenzi ambaye tuliachana then tukaludiana,tena kwa kuwaacha wapenzi tuliokua nao.The problem ni kwamba nashangaa sasa ivi mwenzangu hanijali tena.nikimtumia msg ajibu,amekua mkali nikiongea nae na wala ajisikii kunipigia.yan naona kiufupi ajisikii kuhusu mimi,nampenda sana sijui nifanyeje na najua tuliludiana kwasababu tulikua tunapendana sana.nifanyeje wadau
Masahihisho:
Tuliludiana = Tuliruduana
Ahibu = Hajibu
Ahisikii + Hajisikii

Waalimu wa kiswahili hasa hizi accademy feki hizi wanatuharibia watoto wetu Lol!!! Koswahili ziiiiiiii:A S embarassed:
:alien:
 
Mwongozo kidogo...
Tuliruduana...
 
Masahihisho:
Tuliludiana = Tuliruduana
Ahibu = Hajibu
Ahisikii + Hajisikii
Waalimu wa kiswahili hasa hizi accademy feki hizi wanatuharibia watoto wetu Lol!!! Koswahili ziiiiiiii:A S embarassed:
:alien:

Masahihisho:
Tuliludiana = tulirudiana
Ajibu = Hajibu
Ajisikii = Hajisikii

Kaazi kwelikweli....
 
Peoples who resonable wana misemo yao, na mmojawapo ni huu :- Kabla hujamsifia punda dume kua anamiliki banzi kubwa, kwanza unatakiwa umsifie punda jike anaemudu kulibugia banzi husika! Hivyo basi nakupa hongera kwa kua ulikua ni mtu usiesimamie jambo! Yaani uliposhawishiwa kurudiana ulikubali vingenevyo wapo baadhi ya watu ikishatoka imetoka hairudi.
So be calm kama mlirudiana first phase basi scnd phase pia itawezekana
 
Masahihisho:
Tuliludiana = (Tuliruduana)
Ahibu = Hajibu
Ahisikii + Hajisikii

Waalimu wa kiswahili hasa hizi accademy feki hizi wanatuharibia watoto wetu Lol!!! (Koswahili) ziiiiiiii:A S embarassed:
:alien:
Khaaa! Sasa wewe umesahihisha nini? Hizo kwenye mabano ndio sahihi?

Kweli nimeamini kuchamba kwingi.....
 
Masahihisho:
Tuliludiana = Tuliruduana
Ahibu = Hajibu
Ahisikii + Hajisikii

Waalimu wa kiswahili hasa hizi accademy feki hizi wanatuharibia watoto wetu Lol!!! Koswahili ziiiiiiii:A S embarassed:
:alien:

Masahihisho:
Tuliludiana = Tuliruduana-Tulirudiana
Ahibu = Hajibu
Ahisikii + Hajisikii-Hajisiki
 
Attachments

  • c.jpg
    c.jpg
    8.1 KB · Views: 36
Kama mapenzi yamekwisha si basi,au wewe ndio unalazimisha? uliambiwa wapo hukuambiwa yupo,kama keshapata mwengine aende asije akachelewa, kama mapenzi yamekwisha usilazimishe usikubali kua mtumwa wa mapenzi. Mungu atakupa wako mwenye kheir na wewe...
 
Back
Top Bottom