Anatakiwa afanyenini hapa dar huyu kijana

mr jay4

Member
Dec 17, 2019
19
48
Nina ndugu yangu katokea mbeya kaja apa mjini dar anasema mbeya mji wa wafanya kazi maana ajaona fulsa yoyote,kama unavyo jua mbeya hata kwa buku mbili unaishi siku mzima,sasa yeye ni dereva wa magari yote lakini anasema anaweza kufanya biashara huko aliko toka kaacha familia mke na watoto watatu
Anaomba ushauli afanye biashara gani yenye mtaaji mdogo alionao au kama kuna kazi kulingana na yeye ni dereva

Mm nimempokea na mm nikashidwa kumshauli nikaona nije kwa JF mnisaidie binafsi mm mwenyewe nimeajilia lkn nako fanya kazi hakuna nafasi na nakuwa bize sana nakosa mda wa kwenda nae lbd kutafuta kazi za apa na pale ajikim kwa watoto wake huko mbeya lkn huku atakula kulala vzr tu shida nyumbni kwake sasa hukoo mbeya

Tunaomba ushauli tumwambie nini na kasema atakama kuna biashara ya mtaaji mdogo itakayo msaidia kutuma walau 10k kwa siku kwa mke wake yeye poa tu
 
Mwambie aende makampuni logistics akaombe kazi dereva....asukume lorries ndio itamfaa kama anaweza hiyo safi kwake
 
Nina ndugu yangu katokea mbeya kaja apa mjini dar anasema mbeya mji wa wafanya kazi maana ajaona fulsa yoyote,kama unavyo jua mbeya hata kwa buku mbili unaishi siku mzima,sasa yeye ni dereva wa magari yote lakini anasema anaweza kufanya biashara huko aliko toka kaacha familia mke na watoto watatu
Anaomba ushauli afanye biashara gani yenye mtaaji mdogo alionao au kama kuna kazi kulingana na yeye ni dereva

Mm nimempokea na mm nikashidwa kumshauli nikaona nije kwa JF mnisaidie binafsi mm mwenyewe nimeajilia lkn nako fanya kazi hakuna nafasi na nakuwa bize sana nakosa mda wa kwenda nae lbd kutafuta kazi za apa na pale ajikim kwa watoto wake huko mbeya lkn huku atakula kulala vzr tu shida nyumbni kwake sasa hukoo mbeya

Tunaomba ushauli tumwambie nini na kasema atakama kuna biashara ya mtaaji mdogo itakayo msaidia kutuma walau 10k kwa siku kwa mke wake yeye poa tu
Atume elfu 10 kwa siku, hapo matumizi yake mwenyewe si chini ya hiyo.
Sasa,biashara ya faida isiyopungua elfu 20 kwa siku unaiita ndogo? Maana hapo ukila faida yote,unadhani utatoboa?
 
Back
Top Bottom