Queen Kan
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,087
- 8,595
Kabisaa....bora atafute wakeMkuu kweli asijaribu mwanzo huwa wapole akisha pata huwa wasumbufu kupita Maelezo we tafuta wako anzisha familia

Kwan unamahusiano nae kwa muda gani sasaHeri ya mwaka mpya wanajamvi,
Mimi ni kijana ninamiaka 27, ninarafiki yangu wa kike ambae ambae anataka nimpe mimba. Ila ubaya mimi sina mtoto na wala sijaoa ila yeye aliolewa na anawatoto 4. Sasa anadai anahitaji mtoto toka kwangu kulea anasema atalea mwenyewe.
Naombeni ushauri maana hali hii nimekutana nayo kwa wanawake wengi sana. Huwa nawakatalia sasa naona inajirudia.
Nisaidieni wakuu.
JF kiboko
Msimamo wangu sitaki maana naona itanipa shida nikitaka kuoa
Heri ya mwaka mpya wanajamvi,
Mimi ni kijana ninamiaka 27, ninarafiki yangu wa kike ambae ambae anataka nimpe mimba. Ila ubaya mimi sina mtoto na wala sijaoa ila yeye aliolewa na anawatoto 4. Sasa anadai anahitaji mtoto toka kwangu kulea anasema atalea mwenyewe.
Naombeni ushauri maana hali hii nimekutana nayo kwa wanawake wengi sana. Huwa nawakatalia sasa naona inajirudia.
Nisaidieni wakuu.
Haswaaa km umelitambua ilo bx acha ucfanye na itakugarm mbelen mkuuu achaMsimamo wangu sitaki maana naona itanipa shida nikitaka kuoa