siku hz kumbe mnaangalia sura eeh!
Madam, ana pochi la kufa mtu!Mwambie aende Afghanistani atapata mke, huku Afrika kusini ya sahara hapati mke, ana sura mbaya mno!!!!
hela anazo kama za bilget
Kama Afghanistan wanavaa gubigubi wanaficha sura je MISS AFGHANISTAN anapatikanaje?