Anasema mpeane ”break time“ ina-make sense kweli?

Iyo kapata wakupa vitu Zaid Yako...wanawake haapo either kapata ukuni mpya au Hela imemdatisha..we huna kimoja au vyote..itakuwa kimoja ndo Mana yupo kaomba break..anaenda huko kuchek upepo akikuta yote bas jua harudi..akikuta kimoja bas omba kiwe kama kwako..atarudi..Ila likiwa kimoja ambacho hapat kwako kakikuta huko basi hongera umepata mume mwenza
 
Hapo kapata mgegedo mpya
Hawa viumbe ASE wakuishi nao Kwa akili..Kuna kipindi nilikaa benchi miez kama sita..Ila home anajua nilikaa bench miez mitatu..maana after miez mitatu nikaona zarau..nikazuga nimepata mchongo kumbe natoka naenda Kwa ndugu ananiachia key napoz napambana..hapo ntampanga mikeka na kuomba Kaz na kutafuta mishe. Ase..mpaka nikarud kwenye reli..Ila iyo miez mitatu nilipambana Cha msingi e huduma yake ibaki pie..wanaume tunasota sana
 
Iyo kapata wakupa vitu Zaid Yako...wanawake haapo either kapata ukuni mpya au Hela imemdatisha..we huna kimoja au vyote..itakuwa kimoja ndo Mana yupo kaomba break..anaenda huko kuchek upepo akikuta yote bas jua harudi..akikuta kimoja bas omba kiwe kama kwako..atarudi..Ila likiwa kimoja ambacho hapat kwako kakikuta huko basi hongera umepata mume mwenza

Yaan ni kwamba tulikua wapenz since tupo chuo for 3 year ila naona baada ya kua kitaa kwa takriban 1 year bila mchongo wowote naona alianza kubadirika taratibu ananijibu short short kwenye chatings afu amekua majibu yake ni ya command...sasa last week ndio aliniambia twende break time,na nkala block kama siku tano hivi,baada ya kumuuliza reason za kuniblock akaniukiza “ kwani lazima niwe nampigia simu mara kwa mara..?? Yan anajibu majibu makali sana
 
Hukutuma meseji afu hakujibu ukiuliza akakwambia
"KWANI LAZMA KUJIBU"
 
Yaan ni kwamba tulikua wapenz since tupo chuo for 3 year ila naona baada ya kua kitaa kwa takriban 1 year bila mchongo wowote naona alianza kubadirika taratibu ananijibu short short kwenye chatings afu amekua majibu yake ni ya command...sasa last week ndio aliniambia twende break time,na nkala block kama siku tano hivi,baada ya kumuuliza reason za kuniblock akaniukiza “ kwani lazima niwe nampigia simu mara kwa mara..?? Yan anajibu majibu makali sana
pole sana mkuu!!! huyu mtu mnaishi naye sehemu moja?? kwa maana ya mkoa mmoja au kila mtu yupo mkoa tofauti???
 
Kwa ufupi huyu tayari kaisha ruka; cha msingi usimbembeleze we kama kasema mwende break mwambie asirudi tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom