Anapotenguliwa mtendaji na mwanasiasa asibaki!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Kwa maono yangu naona wanaoumia na kuumizwa ni watendaji wa Serikali pekee huku wanasiasa wafanya figisu wakiachwa wanapeta.

Ndugu Makonda unapoita katika ziara yako muhimu ya kichama hakikisha kuwa utumbuaji hauishii kwa watendaji wa Serikali pekee bali kamati nzima ya Siasa.

Iwapo kuna malalamiko genuine ya wananchi katika eneo flani ambayo yanapelekea mtendaji wa Serikali kutumbuliwa basi bila shaka kamati ya Siasa ya eneo hilo ilishindwa kutambua madhaifu na kuchukua hatua.otherwise unaweza kuwa na kikundi cha wahuni kisichomtaka mtendaji flani kikatengeneza zengwe dhidi ya mtendaji wa Serikali.

Haiwezekani sehemu moja ikawa na malalamiko yasiokwisha na siku zote tatizo liwe watendaji wa Serikali.

Adhabu iende kwa wanasiasa ili wapunguze majungu.


KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Ukisema Kamati ya siasa nzima unamaanisha hadi Mbunge. Ni ngumu kwenye mazingira haya ku risk kurudi kwenye uchaguzi. Mkuu wa wilaya sawa ila kupoteza Mbunge kwa madhaifu ya Mkurugenzi na DC hapana
 
Back
Top Bottom