Anaolewa tarehe 25 mwezi huu lakini ananipa mzigo kila ninapohitaji

BOMBAY

JF-Expert Member
Apr 16, 2014
4,682
3,406
Aisee, ule wimbo wa Mwana FA BADO NIPONIPO kuna verse inasema "alilala na bibi harusi siku moja kabla ya harusi.

Ninaishi Moro mijini. Natoka zangu kwenda mihangaikoni ghafla nakutana binti njiani,kajihifadhi vizuri kimavazi. Nikamtongoza akakubali na kunipa namba fasta.

Siku ya pili nikamwalika geto akaja na nikampima HIV kwakutumia vipimo vya pharmacy nikala mzigo. Sijui hili wala lile kumbe Binti kachumbiwa na amezalishwa na huyo mumewe mtarajiwa.

Alinificha kuhusu uchumba ila mwenye nyumba wangu nimemsikia akimsifia kuwa katulia na anaolewa soon.

Nilivyomuuliza binti kakubali nikweli anaolewa tarehe 25 ila ananipenda sana kuliko jamaa. INASHANGAZA SANA. Kanambia hata nikitaka mzigo usiku wa kuamkia siku ya harusi atanipa.

Jamaa anemuoa nasikia yupo vizur tu na kabadili mpaka dini kisa huyu binti.

HALI INATISHA JAMANI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angekuwa anakupenda kweli asingekubali kuolewa na mtu mwingine. Usikubali kugeuzwa mjinga
Angekuwa hampendi asingeendelea kumvulia chupi na kumtanulia mapaja au kumbong'olea ili amuingilie mbuzi kagoma.
Kuolewa ni aina tu ya uwekezaji ambao huyo dada ameufanya baada ya kuona huyo mme mpya anakidhi vigezo vya ku provide. Pia anaweza kummudu kwa kumgeuza fala
 
Kwanza hii ni tea ila let's assume sio chai haya nakujibu sasa......

1. Umekutana nae njiani umemtongoza kakibali fasta...........namba chap katoa, malaya huyo

2. Umemtongoza leo kesho yake umemla chap.............malaya huyo

3. Umemtongoza leo ukamla kesho yake alafu hapo hapo akatokea anakupenda kuliko jamaa yake wa miaka yote. Huo upendo umeota na kukomaa ghafla ndani ya wiki moja ukamzidi mchumba aliyemtolea mahari na kumuandalia harusi na ndoa............Acha ujinga
 
sheria ya kunyonga ipitiswa tuwapunguze watu kama hawa
 
Angekuwa anakupenda kweli asingekubali kuolewa na mtu mwingine. Usikubali kugeuzwa mjinga
Haya mambo mazito sana...

Kuna mkasa wa binti mmoja alipendana sana na jamaa yangu, shida ikawa dini. Binti umri unaenda, akapata mtu wa dini yake, akakubali kuolewa ili kuondoa zengwe nyumbani. Lakini moyo wote uko kwa jamaa.

Haya mambo ukisimuliwa unaweza kuhisi ni uongo, lakini yule binti alikatoka ghetto kwetu kwenda saluni kujiandaa na SendOff yake.... Fear Women

Ila ndoa imedumu, mwaka wa 10 huu :D:D:D
 
Kuna watu wakisimuliwa hawaamini.

Wanaume tunapitia mengi!
 
Back
Top Bottom