Analazimisha nimuoe wakati mimi sitaki

jamani naombeni ushauri nina dada ambaye nilikuwa na uhusiano naye , mbaya zaidi ameanza kujitambulisha kwa wazazi wangu kuwa mimi nimeshamuoa na ananifuata hadi ofisini akisema amewambia wazazi wangu kuwa tunafunga harusi mwaka ujao na baba yake ni mganga wa kienyeji nifanyaje ili nisipatwe na hili tatizo kuoa bila malengo

Hapo nilipoweka bold ndipo panaponitisha sana mana kama ni mganga basi umekwisha jiandae kwa ukosefu wa nguvu za kiume na kuchukuliwa kwenda kulima kila siku usiku!!!ina maana we ulikuwa hujui kwa mzee wake mganga mbaka ukajipeleka kichwa kichwa!!
 
Back
Top Bottom