Analazimisha kunioa

Securedada

Member
Dec 29, 2022
25
85
Habari za wakati huu wakuu

Niende moja kwa moja kwenye point, mimi ni binti wa miaka 28 nipo kitengo flan na mpenz wangu ana miaka 35 naye hivyo hivyo yupo kitengo flan. Sasa huyu mpenzi wangu nipo nae miaka mitatu sasa yeye alishanitambulisha kwao i mean ndugu zake wananifahamu. Mimi kwetu anamfahamu dada yangu tu,

Kiufupi nimeshindwa kumtambulisha kwani bado namtafakari tabia zake. Kwani ni mtu anayependa starehe sana (Hii labda inatokana na nature ya kazi yake) kiukweli ninavyomwangalia sioni kama ni mtu anayeweza kubeba majukumu kama baba wa familia, hii imepelekea mimi kusita sana kuolewa naye japo nampenda.

Wakubwa imefikia sehemu migogoro imekuwa mikubwa anataka anioe, nikamtambulishe nyumbani au nimzalie mtoto au tuachane. Nipo njia panda nina wiki sasa hatuongei nashindwa niamue nini nipeni ushauri wenu juu ya hili.

Ahsanteni
 
IMG_3796.jpg
 
Utajuaje kama atakuwa baba bora wa familia ikiwa humpi nafasi ya kuwa mume kwanza?

Majukumu hubadili mtindo wa maisha, akishakuwa mume itamlazimu kubadili mwenendo wa maisha yake. Sasa hivi anafanya starehe sababu bado ni bachelor.
Kama unampenda muweke chini umueleze hofu yako juu ya mwenendo wa maisha yake uone kama hatobadilika.

Katika swala la mapenzi ni bora kumpata anaekupenda na wewe unampenda kuliko kudengua sasa hivi uje kuangukia kwa baradhuli moja litakalokukoleza ulipende halafu likupige matukio mpaka uwe chizi.

Bora ya huyo anaependa starehe unaemjua tayari kwa miaka 3 kuliko kuachana nae upate actor anaejifanya mlokole ukubali akuoe halafu uje kugundua ni mchepukaji, mlevi na mpigaji.
 
Mtu huoni Kama anaweza kuwa baba Bora na umepewa options tatu na umechanganyikiwa. Umechanganyikiwaje wakati humtaki au unashindwa kumwambia ukweli? Mwambie ajue yakufanya koz hata yeye pressure ya umri inampeleka kwenye hayo maamuzi ya kuoa au kupata mtoto.
 
Duuuuh, badilisha title aisee. Nilijua anakulazimsha halafu hana kasoro na wewe hutaki tu.

Mbona hiyo rahisi tu, temana nae utapata mwingine. Au unaogopa nini?

Hiyo ndio unaolewa, anaendelea kuzingua, wewe unaanza kuchepuka, mnafumaniana, mnachinjana inakuwa tafrani tu.
 
Habari za wakati huu wakuu
Niende moja kwa moja kwenye point, mimi ni binti wa miaka 28 nipo kitengo flan na mpenz wangu ana miaka 35 naye hivyo hivyo yupo kitengo flan. Sasa huyu mpenzi wangu nipo nae miaka mitatu sasa yeye alishanitambulisha kwao i mean ndugu zake wananifahamu. Mimi kwetu anamfahamu dada yangu tu,

Kiufupi nimeshindwa kumtambulisha kwani bado namtafakari tabia zake. Kwani ni mtu anayependa starehe sana (Hii labda inatokana na nature ya kazi yake) kiukweli ninavyomwangalia sioni kama ni mtu anayeweza kubeba majukumu kama baba wa familia, hii imepelekea mimi kusita sana kuolewa naye japo nampenda.

Wakubwa imefikia sehemu migogoro imekuwa mikubwa anataka anioe, nikamtambulishe nyumbani au nimzalie mtoto au tuachane. Nipo njia panda nina wiki sasa hatuongei nashindwa niamue nini nipeni ushauri wenu juu ya hili.

Ahsanteni
Sasa kama mtu anayependa starehe sindiye mzuri sasa huyo kama anaweza kufanya starehe huyo ndiyo mzuri umeshamjua, kuna watu wanapata pesa hazijulikani zinaenda wapi starehe hawafanyi na maendeleo hakuna
 
Kama roho inakataa achana nae usijejutia mbelen
To yeye
We katoto hadi huku unafika. Mmh umezidi upana.
Naona unampa wosia shoga yako.
Sema tunaooa ni wachache mwambie atumie fulsa kisha amzalie kamoja. Atakatunza lazima.
Hyo anataka mtoto maana umri umesogea, anadata na viwanja kwsbb hana chakuhudumia mke anajitunza mwenyewe anataka bond ya mtoto awe busy kiasi.
Pili huwenda wenzake (rfk) zake wote wana watoto na wengine wanasomesha yeye amegandisha mkuyenge hauna matokeo anakula na kupupu mtoto hakuna wala nn. Mamaake mwenyewe huwenda anamwuliza vp mbona hauoi anajibu mama usowe na presha hivi karibuno, bado vp hata mtoto na umri umesogea anajibu mungu atajalia hivi karibu usiwe na wasiwasi mjukuu anakuja.
Mwambie akubali asiache nafasi, waoaji tumebakia wa4
Mimi DeepPond mzabzab na bwanaake tu
 
Habari za wakati huu wakuu
Niende moja kwa moja kwenye point, mimi ni binti wa miaka 28 nipo kitengo flan na mpenz wangu ana miaka 35 naye hivyo hivyo yupo kitengo flan. Sasa huyu mpenzi wangu nipo nae miaka mitatu sasa yeye alishanitambulisha kwao i mean ndugu zake wananifahamu. Mimi kwetu anamfahamu dada yangu tu,

Kiufupi nimeshindwa kumtambulisha kwani bado namtafakari tabia zake. Kwani ni mtu anayependa starehe sana (Hii labda inatokana na nature ya kazi yake) kiukweli ninavyomwangalia sioni kama ni mtu anayeweza kubeba majukumu kama baba wa familia, hii imepelekea mimi kusita sana kuolewa naye japo nampenda.

Wakubwa imefikia sehemu migogoro imekuwa mikubwa anataka anioe, nikamtambulishe nyumbani au nimzalie mtoto au tuachane. Nipo njia panda nina wiki sasa hatuongei nashindwa niamue nini nipeni ushauri wenu juu ya hili.

Ahsanteni
Mtafutie kazi nyingine
 
Badilishaneni vitengo vya kazi, tuone kama kazi itakubadili wewe tabia yako njema
 
Kuna kitu sikipendi kwenu wanawake mnafikiri mume amekuja kuchukua kazi ya baba yako mzazi. RUBBISH

Back
Top Bottom