Anakuja na kurudi siku hiyo hiyo!!

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Salaam wana MMU

Sijui niseme kanichoka
Sijui kaona mi baga sina hela
Sijui ananionaje huyu mwanamke

Mimi ni baba wa mtoto mmoja,na nimekua na huyu mzazi mwenzangu kwa almost 5 years

Mwenzangu kabahatika kupata ajira nzuri yenye salary nono
Tunaishi mbalimbali japo sio sana ,yani tupo mikoa jirani

Tangu Jana nampigia simu huyu mwanamke kumuuliza kama ameomba ruhusa kazini ili aje nimsindikize clinic anatatizo flani la uzazi hivyo anafanyia vipimo vya Mara kwa Mara
Badala ya kunijibu vizuri ananipayukia Mara tuma nauli Mara nisimsumbue mi nikapandisha jazba akaniambia basi siwezi kuja usije ukanipiga ,mi nikakata simu

Leo nampigia na kumsalimia na kumuuliza kuhusu route yake ya huku aje weekend hii tukae wote hadi j3 ili nimsindikize medical ananijibu hawezi kuja anakuja j3 asubuhi anaenda hospital akimaliza anaondoka

Hii ina maana hata kwangu hatakanyaga,huyu mwanamke najitahidi kumheshimu lakini naona kila siku analeta dharau

Nina muda sijasex nae nimemwita ili tupate kukaa faragha japo hizi siku 2 anaishia kunijibu anakuja j3 asubuhi na anarudi kwake ina maana suala la kuja kwangu weekend kalikacha ,hii ni haki jamanii tumezaa mtoto mmoja lakini anavyonifanyia sometimes ni utoto kila nikipiga simu hazipiti siku 2 lazima tukwaruzane

Je kitendo cha kuja na kuondoka pasipo kupitia ninapoishi mzazi mwenzake ni haki jamanii?? nafadhaika sana moyoni.
 
Kuna mtu anakula la kufanya piga ziara ya kushitukiza bila kujali ukikuta madudu lakufanya futa hayo madudu kisha mpe Darasa wapi mlipo anza , mlipo fika na mbele itakuwaje
NB kuwa ktk uchumba zaidi ya miaka mitatu ni dalili ya kwanza ya kutoka funga Ndoa
 
Huwezi kufanya ziara ya kushtukiza wakati haupo tayari kumuacha....tatizo haya masuala yanaongeza mzigo katika kiungo ambacho kazi yake ni kusukuma damu tu.....
 
Si kila ziara ya kushitukiza ina lengo la kumuacha , soma vzr nilicho kiandika
 
Namaanisha katika ziara ya kushtukiza kuna mengi....unaweza kutana na usiyoyategemea ukapata maamuzi ya ambayo hukuyatarajia....mioyo inabebeshwa mizigo mizito mno....wengine capacity ya mioyo yao ni ndogo....
Sasa hiko ikikutacho ndiyo kipimo cha kuyahimili matatizo ktk mahusiano ukiweza kuhimili utaweza kuwa mwalimu mzuri kwa wengine
NB KUNA HASARA KUBWA SANA KTK KUPIGA NA KUACHANA
 
Umezaa naye lakini usisahau kuwa yuko huru kwa maana hujamuoa,kama CASH pia anayo naweza asijali sana.
 
Hivi mtu inawezekana vipi kuona manyoya halafu unashindwa kujua kuwa kandege kako kameshaliwa na mafisi pamoja na vicheche??......ofisini siyo sehemu salama sana,kakutana na watana shati!!
 
Pole sana kuna mjanja mwenzio kakuzidi kwa kila kitu halaf sijui mahusiano yenu yapoje sijui mmezalishana tu bila kutambulishana na hamna malengo hats ya kuoana kiufupi pole tena
 
Unaweza ukakuta hata hakuna mjanja alomzidi. Uchumba gani wa muda mrefu hivyo, inafikia hatua unamchoka tu mtu. Alafu binti kama haoni dalili za ndoa ndio anaona anachoshwa tu.
 
Back
Top Bottom