Anakata roho

sulphadoxine

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,257
645
Jamaa mmoja alikua anakata roho,muda huo mkewe alikua karibu nae,jamaa akamwambia mkewe"mke wangu naomba unisamehe kuna kosa kubwa nimekufanyia,nilitembea na dada yako,mdogo wako,rafiki yako na mama yako".Mkewe akamnong'oneza nayafahamu yote hayo ndio maana nimekupa sumu"
 
Mkewe kaona bora awe mjane( suluhisho la kudumu) mana atauweka wapi uso wake wakati kidume ndo kimeizunguka familia nzima kwa kumwaga mimba
!
 
Huyo aliyeua ndio mdhambi

jamaa mmoja alikua anakata roho,muda huo mkewe alikua karibu nae,jamaa akamwambia mkewe"mke wangu naomba unisamehe kuna kosa kubwa nimekufanyia,nilitembea na dada yako,mdogo wako,rafiki yako na mama yako".mkewe akamnong'oneza nayafahamu yote hayo ndio maana nimekupa sumu"
 
Back
Top Bottom