Anahitajika journalist

noella

Senior Member
Mar 21, 2011
101
46
Anahitajika journalist wa kike, kazi ni part time muajiri ni mtu binafsi,kazi ya kutafuta habari picha.
awe mchangamfu, mwenye kujuana na watu, mwenye kujiamini.

kwa maelezo zaidi tuma email kwenye noella.david@yahoo.com
 
noella Ungeweka office iko wapi ili hata mtu ajue anakotakiwa kukupata, na kiwango cha mshahara ingekua poa zaidi
 
Kuna jamaa yangu anatafuta freelancer ambaye anataka kuanzisha website ihusuyo entertainment, so anatafuta freelancer.
awe outgoing, mwenye usafiri wake na mwenye kuweza kupata habari picha za entertainemt kwa urahisi kulingana na content za mwenye web.
malipo ni makubaliano.hakuna ofisi.
 
Nina certificate ya journalism from Rhodes University na nina uzoefu wa zaidi ya miaka sita kutumia digital newsrooms, nina diploma ya social science na degree ya politics and management of social development @ ataweza kunilipa kweli? Kama yupo tayari this is my hotline 0712769766
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom