Anahihitaji Viwanja Majohe (Ilala District)

Ernesto Che

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
1,114
293
Wadau,

Kwa anayehitaji viwanja (mashamba) maeneo ya Majohe karibu na Chuo cha Ualimu cha West Dsm Teachers College, vinapatikana.

Ukubwa ni mita

20x35, milioni 5

30x 70 milioni 7

20x20 milioni 2

Kwa anayehitaji mawasiliano ni 0784 670322, 0767 670322, 0715 670322.
 
hivi viwanja ni surveyed?wewe ni nani katika hivyo viwanja dalali au mwenyemali?ufafanuzi tafadhali kabla hatujapiga ktk namba ulizoweka hapa.

Mkuu viwanja vingi maeneo hayo havina hati pia kwa uhakika waweza kwenda Manispaa ya Ilala kitengo cha Ardhi upate uhakika kabla ya kudumbukiza hela zako huko.
 
Mkuu viwanja vingi maeneo hayo havina hati pia kwa uhakika waweza kwenda Manispaa ya Ilala kitengo cha Ardhi upate uhakika kabla ya kudumbukiza hela zako huko.

Ahsante mkuu nimekupata,kimsingi nlitaka jamaa anifahamishe kama eneo ni surveyed na pia angenambia ana kitu gani kinachompa yeye umiliki mathalani letter of offer au title deed,then taratibu nyingine tungeweza kufuata coz kama ni surveyed si tatizo sana cha msingi awe ni mmliki halali na kama sio surveyed wanaweza kuja town planners wakasema eneo lako ni barabara au open space maana yake huwezi fidiwa.dats all bt jamaa mwenyewe kapotea kabisa kwny thread yake.
 
Wadau,

Kwa anayehitaji viwanja (mashamba) maeneo ya Majohe karibu na Chuo cha Ualimu cha West Dsm Teachers College, vinapatikana.

Ukubwa ni mita

20x35, milioni 5

30x 70 milioni 7

20x20 milioni 2

Kwa anayehitaji mawasiliano ni 0784 670322, 0767 670322, 0715 670322.

Visije vikawa vya halmashauri alafu baadae unanyang'anywa
 
Back
Top Bottom