Anaejua vijiwe vya wese kidebe tafadhal

Muuza Viat

JF-Expert Member
Dec 23, 2022
2,824
7,350
Leo asubuh nimeingia sheli na chombo changu no.C land Rover 111 dar mpaka Moshi natumiaga masaa manne tu


Nilikipak chombo changu pembezon mwa pampu ya dizel na kumpa elf sitin yule muhudumu pesa ya kibongo huku jicho langu nikilitega ktk kronomita(kwa mujibu wa watangazaj wa mechi ya Ihefu na yanga jana ni kipima muda) ili nijue lita ngap ile pampu itanibalansia kulingana na pesa niliyoitoa



Aloooooo nilishangaa baada ya namba kusoma 17 lita na point kadhaa mashine ikagoma kuendelea nikaona hii mashine isinitanie nikashuka kutoka ndan ya gar na kuhakikisha kuwa je ni kwel pamp imemaliza kumwaga wese kwenye ndinga???


Haina jinsi nalazimika kuanza kutumia wese la kidebe
 
Back
Top Bottom