Anaeamini kuwa serikali haipaswi kulaumiwa juu ya mafuriko...

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Aug 6, 2009
5,101
1,946
...ina maana anataka kuniambia kuwa ni kosa la waathirika (na sio wahanga maana kuwaita "wahanga" ina maana walijitolea wao wenywewe kupata hayo maafa) wenyewe. Kama ndivyo hivyo, kwa nini serikali hii hii izuie kwa nguvu maandamano kwa "kulinda usalama wa mali na raia" na isiwahamishe kwenye mabonde waliojenga humo ikichukuliwa kuwa serikali ndio yenye means za ku-forecast possible occurrences?
Naomba ieleweke kuwa sisemi kuwa waathirika hawana kosa na hawajawahi kuambiwa wahame mabondeni, lakini je, ukimuona mtoto mdogo anachezea bomu utamwambia kwa upole aache au utatumia nguvu kumuepusha na hatari?
 
Back
Top Bottom