Anachofanyiwa Makonda kwa sasa ndicho alichofanyiwa Lowassa enzi za uhai wake

troiker

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
1,430
2,264
Nimekuwa nikifuatilia mienendo ya unafiki,uzandiki wa watanzania baadhi yetu,hasa wanasiasa wa pande zote mbili, kwa maana ya wanaccm na wapinzani

Wanaccm baadhi wanapoona kuna mtu ni tishio kwa hatma ya mustakabali wao kisiasa,akionyesha kupata ushawishi na wafuasi wengi hutumia mbinu mbalimbali kummaliza,wakiwanunua baadhi wanasiasa wa upinzani kufanya kazi hiyo

Mfano nimefuatilia kipindi cha mahojiano startv kati ya Godless Lema na Odemba,maudhui yalitawaliwa na jina la MAKONDA tu kwa asilimia kubwa

Kingine ni mahojiano ya Lissu na mwandishi wa Mwanahalisi mada kuu ilikuwa MAKONDA tu,hii inaonyesha ni kwamba kiumbe huyu zinatumika mbinu zote kuhakikisha anashushwa,na walio nyuma ya hii agenda ni wanaccm wenyewe

Hivyo basi yaliyotokea kwa Lowassa ndio yanayoendelea kwa MAKONDA,wataibuka wengi kimkakati kuhakikisha MAKONDA anaanguka kisiasa.
 
Kwamba vita ya Lema Lissu na Makonda imeanza baada ya Makonda kupewa uenezi!?
Hizo hela mnazopewa kufanya propaganda humu jf si wawe wanawafanyia usaili kwanza angalau wapate watu wenye uelewa kidogo!?
 
Lowassa hakuwa Mropokaji

alikuwa Mpanga mikakati hatare sana

2015 asingekuwa anakabiliana na Rais anaemjua nje ndani angeweza kumzidi ujanja

Lowassa na JK wa 2005 waliweza kumzidi ujanja hadi Mkapa

changamoto ya 2015 alikutana tu na Rais anae share nae Marafiki akampandikizia mamluki

Lowassa alikuwa Mnyeyekevu sana kwa Rafiki na mitandao yake Makonda hana hii hulka
 
Kilichopandishwa na kuinuliwa kwa mkono wa Mwenyezi Mungu hakiwezi kushushwa kwa mkono wa mwanadamu yeyote yule. Mheshimiwa Makonda amepandishwa na kuinuliwa na mkono wa Mungu na hivyo hakuna mwanadamu wa aina yoyote ile anayeweza kumshusha kwa hila au fitina za aina yoyote ile.

Alipanda kwa maombi na atalindwa kwa maombi ya watanzania wanyonge ambao Mheshimiwa Makonda amekuwa mtetezi wao,sauti yao na kimbilio lao. Hakujipandisha yeye kama yeye bali ni mipango ya Mungu katika kumuandaa kuja kuchukua majukumu makubwa sana kwa Taifa letu.
 
Mbona kabla ya kupewa uenezi vita ya Lema ilikuwa dhidi ya bodaboda?
 
Hii Nchi na mipaka yake inahitaji Makonda Zaidi akisaidiana na polepole Kwa ajili ya kesho ya vizazi vijavyo
 
Hiv hawa vijana wenye uwezo huu wa kufikiri tunao mtaani kweli na uhakika mtoa mada ni form four failure
 
Kilichopandishwa na kuinuliwa kwa mkono wa Mwenyezi Mungu hakiwezi kushushwa kwa mkono wa mwanadamu yeyote yule. Mheshimiwa Makonda amepandishwa na kuinuliwa na mkono wa Mungu na hivyo hakuna mwanadamu wa aina yoyote ile anayeweza kumshusha kwa hila au fitina za aina yoyote ile.

Alipanda kwa maombi na atalindwa kwa maombi ya watanzania wanyonge ambao Mheshimiwa Makonda amekuwa mtetezi wao,sauti yao na kimbilio lao. Hakujipandisha yeye kama yeye bali ni mipango ya Mungu katika kumuandaa kuja kuchukua majukumu makubwa sana kwa Taifa letu.
Wapumbavu ninyi wala hatutumii akili kuwajua, mnajulikana tu kwa maandishi yenu
 
Lowassa hakuwa Mropokaji

alikuwa Mpanga mikakati hatare sana

2015 asingekuwa anakabiliana na Rais anaemjua nje ndani angeweza kumzidi ujanja

Lowassa na JK wa 2005 waliweza kumzidi ujanja hadi Mkapa

changamoto ya 2015 alikutana tu na Rais anae share nae Marafiki akampandikizia mamluki

Lowassa alikuwa Mnyeyekevu sana kwa Rafiki na mitandao yake Makonda hana hii hulka
Ukimya wake Lowassa ndio ulimponza,

Kwangu mimi approach ya MAKONDA ni nzuri kwasababu anawachana live haters wake,hiyo ndio muhimu kwa wakati tulionao
 
Nimekuwa nikifuatilia mienendo ya unafiki,uzandiki wa watanzania baadhi yetu,hasa wanasiasa wa pande zote mbili, kwa maana ya wanaccm na wapinzani

Wanaccm baadhi wanapoona kuna mtu ni tishio kwa hatma ya mustakabali wao kisiasa,akionyesha kupata ushawishi na wafuasi wengi hutumia mbinu mbalimbali kummaliza,wakiwanunua baadhi wanasiasa wa upinzani kufanya kazi hiyo

Mfano nimefuatilia kipindi cha mahojiano startv kati ya Godless Lema na Odemba,maudhui yalitawaliwa na jina la MAKONDA tu kwa asilimia kubwa

Kingine ni mahojiano ya Lissu na mwandishi wa Mwanahalisi mada kuu ilikuwa MAKONDA tu,hii inaonyesha ni kwamba kiumbe huyu zinatumika mbinu zote kuhakikisha anashushwa,na walio nyuma ya hii agenda ni wanaccm wenyewe

Hivyo basi yaliyotokea kwa Lowassa ndio yanayoendelea kwa MAKONDA,wataibuka wengi kimkakati kuhakikisha MAKONDA anaanguka kisiasa.
Na wewe unawaza kwamba Kuna siku Paulo atakuwa mkubwa? Thubutu
 
Nimekuwa nikifuatilia mienendo ya unafiki,uzandiki wa watanzania baadhi yetu,hasa wanasiasa wa pande zote mbili, kwa maana ya wanaccm na wapinzani
Unafiki wenu huko ccm mmalizane wenyewe....wapinzani wanahusika vipi?
 
Lowassa hakuwa Mropokaji

alikuwa Mpanga mikakati hatare sana

2015 asingekuwa anakabiliana na Rais anaemjua nje ndani angeweza kumzidi ujanja

Lowassa na JK wa 2005 waliweza kumzidi ujanja hadi Mkapa

changamoto ya 2015 alikutana tu na Rais anae share nae Marafiki akampandikizia mamluki

Lowassa alikuwa Mnyeyekevu sana kwa Rafiki na mitandao yake Makonda hana hii hulka
Nouma Sana
 
Unazunguka mbuyu???

Sema Lowasa alikuwa mcheza rafu nyingi kimya kimya, bonge la mnafiki na mmalizaji asiyeacha alama.

Usizeeke na unafiki mkuu...unajua kila kitu.

Yes...Makonda ni mharibifu, anaabudiwa na akili ndogo pekee
 
Makonda hawezi kua kama lowasa. Lowasa hawezi kuongea, ila alikua mtu wa kutumia hela zaidi.
Ila makonda muongeaji na anajua kuongea na siombaya watu kukitumia kipaji chake cha kuongea.
Lowasa aliamini katika pesa tu, na pesa zake zilipata walaji na wamezila kwelikweli.
 
Back
Top Bottom