Anachofanya Rais Samia huko Zanzibar ndicho alichokifanya Hayati Magufuli kule Chato

Ni sawa tu, Wacha ajenge kwao, hata JPM alitumia pesa ya umma kujenga kwao, alitoa tender kwa ndugu na marafiki,
Dawa ya huu upuuzi, ni mapinduzi, ya kijeshi, richa ya kwamba hakuna garantii kama hata hao wajeda wakiingia madarakani wataleta mabadiriko, lakini angalau wasaidie kufikisha mwisho, enzi za ccm, wakizike jumla,
Tatizo hata wajeda wetu akili zao haziwazi zaidi ya uteuzi, kuiba, kujenga vi apartment, na kuingiza watoto wao kwenye jeshi, hawana ndoto kubwa kama alizokuwa nazo Hans Pope, aliyetaka kumpindua Nyerere, jeshi lenyewe wajeda wanaoingizwa ni wale wenye vinasaba vya ccm, kadi wamezificha kwenye makende, wanasubili wastaafu, ili wagombee ubunge.

giphy.gif

Hatari sana
 
Hao itakuwa si watembeaji hata ndani ya nchi yao. Ukitembea ndani ya hii nchi mikoa tofauti tofauti unaona miradi tofauti inaendelea.
Hawa jamaa watakuwa kuni kabisa aisee, si kwa dhambi hizi wanazotenda!!
 
Kwa magufuli siyo kweli.ukweli ni kuwa kwa sasa Zanzibar inaneemeka maana huwa inapigwa simu moja tu toka magogoni na utekelezaji unaanza maramoja.mfano simu ilipigwa tanesco kuwa Zanzibar isamehewe deni ili Tanganyika igharamie kwa kuongeza tozo ambayo imekuja kama kodi ya jengo kutoka 1000 hadi 1500 lengo kuwalipia wazanzibar umeme bure.na upuuzi mwingine ujenzi wa hizi flyovers kwa znzbar kwa pesa za Tanganyika haikubaliko kabisa.
Kwani chato zilikua zinapigwa simu ngapi? Usijizime data
 
Mimi sio mzanzibari, ila kuna wabara huku ni wabaguzi na wadini sana, huu ubaguzi kwa waarabu na Wazanzibari + chuki za kidini tunakutananazo sana, ukianzia kwenye maofisi ya serikali kuna baadhi ya wakristo wananaonyesha chuki za wazi, za kidini ikiwa pamoja na waarabu wanavyochukiwa na hawa wasio na dini, na imefikia hata watoa huduma baadhi ya maofisi ya serikali hawatimiziwi haja zao ama kutopewa eneo la kufanyia biashara kisa tu uarabu/uislamu

Especially hiki kilichotokea cha dpworld wengi wetu tumejionea waislamu/waarabu wanavyosemwa vibaya na kupinga hii kitu kisa tu DUBAI, na DUBAI ni waarabu na ni WAISLAMU ndio maana, halafu anakuja mtu from nowhere anasema eti oh tunahoji ukomo wa mkataba, aise msitufanye wapumbavu.

Rais samia naomba ufuatilie hawa watu wasio na utu wala huruma, na fanyia kazi suala hili na waache huu upumbavu.

Napinga sana ubaguzi, ukabila na udin

Mungu ibariki Tanzania
 
Mamba ya waislamu na wakristo yameibgiaje hapa, Kuna sehemu ktk Uzi nimeongelea dini ya mtu?
Inferiority complex inakusumbua
 
Mara nyingi na nyuzi nyingi humu ndani utasikia waislamu ni wenye udini sana. Lakini kiuhalisia wenye udini ni wao.

Angali Uzi wowote utakaoanzishwa utakaogusia uislamu ukisoma michango yao yaani ni ya kustaajabisha.

Nimegundua wakristo wanaudini uliyopindukia! Ni wadini mno! Na haya ni mawazo yao kwa vile hatujuani sura! Ninaanza kuishi nao kimkakati na hawa watu. Sitowaamini kabisa!

Hili suala la DP World limetufungua pakubwa sana! Wanafikiri sisi ni wajinga. Ijapokuwa kuna sababu za msingi za kufanyia kazi kwenye mkataba lakini dhima yao kuu imejificha kwenye hiyo sababu za mkataba.

Hawa wakristo wa Tanzania binafsi nimefunga ukarasa wangu; sitowaamini abadani.
 
Hata kama kuna hoja za msingi lakini yaliyomo ya kwenu yamejitokezea humo humo!

Ninyi wakristo ni wadini na wabaguzi sana!
 
Mara nyingi na nyuzi nyingi humu ndani utasikia waislamu ni wenye udini sana. Lakini kiuhalisia wenye udini ni wao.

Angali Uzi wowote utakaoanzishwa utakaogusia uislamu ukisoma michango yao yaani ni ya kustaajabisha.

Nimegundua wakristo wanaudini uliyopindukia! Ni wadini mno! Na haya ni mawazo yao kwa vile hatujuani sura! Ninaanza kuishi nao kimkakati na hawa watu. Sitowaamini kabisa!

Hili suala la DP World limetufungua pakubwa sana! Wanafikiri sisi ni wajinga. Ijapokuwa kuna sababu za msingi za kufanyia kazi kwenye mkataba lakini dhima yao kuu imejificha kwenye hiyo sababu za mkataba.

Hawa wakristo wa Tanzania binafsi nimefunga ukarasa wangu; sitowaamini abadani.

Ni mtihani sana sheikh

Msikie sheikh Rusaganya Allah amhifadhi huyu ndugu yetu

Na ni wadini kweli!

Si tumeuona ujumbe wa Askofu Mwamakula (sijui, sina uhakika kama nimepatia jina lake) twitter!

Wasitufanye wajinga!
 
Kwa magufuli siyo kweli.ukweli ni kuwa kwa sasa Zanzibar inaneemeka maana huwa inapigwa simu moja tu toka magogoni na utekelezaji unaanza maramoja.mfano simu ilipigwa tanesco kuwa Zanzibar isamehewe deni ili Tanganyika igharamie kwa kuongeza tozo ambayo imekuja kama kodi ya jengo kutoka 1000 hadi 1500 lengo kuwalipia wazanzibar umeme bure.na upuuzi mwingine ujenzi wa hizi flyovers kwa znzbar kwa pesa za Tanganyika haikubaliko kabisa.
Inakubalika tena kwa sana tu Tanganyika wenyewe haipo kuna zama na zamu
 
Halafu mapato Tra 2022 Zanzibar walikusanya bilioni 250 wakati Arusha walikusanya bilioni 450 bila kuhusisha pesa ya utalii! Pesa wanatoa wapi? Zinatoka Tanganyika
Wewe hebu wacha utani Arusha aipite zanzibar kwa makusanyo ya mapato hebu weka ushahidi hapa tuone
 
Back
Top Bottom