Ana mimba yangu

Mkuu wewe ndo muongo hapa, umempotezea muda msichana wa watu, ulimlazimisha kufanya bila kinga, umemnyanyasa kwa kumwita muongo...badilika ndugu, sasa kama ungeambiwa ana ukimwi si ungekimbia bila hata kumpa ushauri? Wewe mnyanyapaa mkubwa
 
madhara ya kumwambia mwenzio kuwa una mimba while unajua huna ni makubwa sana, naona wengi wenu mliochangia mmechukulia simple.

Kwanza mjue kudanganya, au kusema uwongo kunapoteza imani kwa mwenzio. Vitu hivi, Trust and love vinaendana sana.


ila nashukuru sana kwa ushauri wenu.
 
Hodi JF;

Siku za karibuni niliingia kwenye uhusiano na mdada mmoja ambaye nilihisi anafaa kuwa mke. Nikamtokea na kwa bahati nzuri akakubali tuwe wachumba, sasa si unajua tena mwanaume nikataka nipewe mzigo, mdada wa watu akataka tupime kwanza HIV nikakubali kwani nilikuwa najiamini.

So tukapima wote tuko safi, baada ya hapo mapenzi moto moto yakaanza ingawa tulipo do for first day mi sikupenda maana mdada alikuwa kapooa kweli. So nikaona nianze kumyeyusha maana sikufurahia kabisa ladha yake. Ila binti ndo akawa amefika maana kila saa anataka tuwe pamoja na tukikaa kidigo faragha anataka na mi sikuwa tena na hamu naye. Sasa baada ya kama mwezi moja akaibuka eti anahisi ana mimba yangu.

Mimi sikuamini kabisa maana nilikuwa namwulizi siku zake kila tulipofanya na ikaonekana alikuwa kwenye dry period. Kwa aliponiambia hivyo sikuamini na nilikuwa safari, so nimweleza kuwa nikirudi tuka prove. Niliporudi akasema yeye alisha pima na ana mimba na akataka nimweleze tufanyeje?

Kwa kuwa nilikuwa najiamini kwa kiwango fulani nika mweleza kuwa yeye ni mwongo ananicheat, nikaweka msimamo kuwa hana mimba na ikabainika hana mi na ye basi. Nilipo mwanbia hivyo akasema ni kweli hana mimba ila alitaka tu kujua msimamo wangu.

Sasa mimi nimeona nimwache tu kwa sababu
  • sijamfurahia katika tendo, she is so cold
  • nimeona ni mwongo mwongo fulani
  • msumbufu
Au wadau mnaonaje


Huna jipya.......acha visingizio kibao,hapa muongo ni wewe.......na ulishakiri hapo kwenye RED.......shame on you.....useless man..............

Ndio nyie mnaoharibu mabinti za watu kila kukicha....................
Mimi binafsi nimempenda huyo binti..............she is smart kwani anajali afya yake na anaonekana ni binti mwenye malengo............kukutana na ibilisi kama wewe ni bahati mbaya tu.........Mungu amuepushie mbali.
 
Bora umuache haraka sana,sio kwa sababu She is Cold ila kwa sababu wewe hu Qualify kuwa mpenzi wa huyo innocent girl wala bint mwingine yeyote mpaka utakapokuwa matured enough kuweza kumsitiri mpenzi wako na kutunza siri za chumbani. Kilaza we!
 
hamna kupoteza muda, piga chini huyo. analeta za kisista duu af majamboz hajui, khaa! kupika na kufua je, anaweza?
 
Ha ha ha ha ha! Kweli mjomba umeikera jamii! Nakushauri usipost tena mavimavi humu ndani!
 
Back
Top Bottom