Ana Kampumi, EFD machine, Bank acc ya Company Ila aina ya corporate business Hajui afanye ipi?

Extraseen

Senior Member
Feb 18, 2017
140
136
Hello wapendwa..kuna mtu kasajili kila kitu akapata vibali vyote lakini hajui afanye biashara gani..

Yaan yeye alicho fanya nikupambana kusajili bila kujali anacho kieleza kule, kwake alikuwa ana tamaa sana ya kufungua ili kwanza amalize mchakato wa kupata Bank acc ya kampuni, Leseni, Efd machine na kafanya vyote sasa ana waza ..

Je ni coperate busines gani afanye ili awe supplier.. anapenda kuwa supplier mwanzo alitaman kuwa supplier wa Offices kwenye eneo la Stationaries and printers accessory.. na ndio alicho sujilia ..ila kwa kuwa amesajili kama office suppliers haja jifunga kwenye specific iko wazi.. kusupplie chochote.

Sasa anauliza wenye wazo.. la Nini kina kuwa supplies kwa coperate companies nyingi hapa mjini ili aanze maana anaogopa kulipia pango kwa office kabla haja jua afanye nipi na kina mzunguko gani.

Hapa kuna wazoefu... tusimnyime wazo la kitu kinacho toka haraka..
 
Kwa nn asifanye supply ya office furniture, decorations n hizo stationary offices tena?. Mana hiyo ndo fursa pekee kwa sasa. Afisa masoko nipo hapa
 
Hello wapendwa..kuna mtu kasajili kila kitu akapata vibali vyote lakini hajui afanye biashara gani..

Yaan yeye alicho fanya nikupambana kusajili bila kujali anacho kieleza kule, kwake alikuwa ana tamaa sana ya kufungua ili kwanza amalize mchakato wa kupata Bank acc ya kampuni, Leseni, Efd machine na kafanya vyote sasa ana waza ..

Je ni coperate busines gani afanye ili awe supplier.. anapenda kuwa supplier mwanzo alitaman kuwa supplier wa Offices kwenye eneo la Stationaries and printers accessory.. na ndio alicho sujilia ..ila kwa kuwa amesajili kama office suppliers haja jifunga kwenye specific iko wazi.. kusupplie chochote.

Sasa anauliza wenye wazo.. la Nini kina kuwa supplies kwa coperate companies nyingi hapa mjini ili aanze maana anaogopa kulipia pango kwa office kabla haja jua afanye nipi na kina mzunguko gani.

Hapa kuna wazoefu... tusimnyime wazo la kitu kinacho toka haraka..
Mbona kama hili andiko lote ni uongo. Mbona kama kuna janja janja za kutaka kusema kitu kilichojificha angalia sana unayoshirikisha watu utapotea
 
Shida ni connection bila connection hupati tenda!!!
In an INSTITUTIONAL LEVEL, do not believe in this aspect. Kampuni inatakiwa iwe na utamaduni wa kufosi... Tuma barua, tuma emails, na omba appointment kwa MD au DG. Huwez kufanikiwa kama utalegeza matako na kuamini kubebwa.

Pambana, mana hata huyo konekta atataka 10% ya faida itakayopatikana.
Narudia kama taasisi unatakiwa uwe na utamaduni wa kupush... By any means!
 
Hello wapendwa..kuna mtu kasajili kila kitu akapata vibali vyote lakini hajui afanye biashara gani..

Yaan yeye alicho fanya nikupambana kusajili bila kujali anacho kieleza kule, kwake alikuwa ana tamaa sana ya kufungua ili kwanza amalize mchakato wa kupata Bank acc ya kampuni, Leseni, Efd machine na kafanya vyote sasa ana waza ..

Je ni coperate busines gani afanye ili awe supplier.. anapenda kuwa supplier mwanzo alitaman kuwa supplier wa Offices kwenye eneo la Stationaries and printers accessory.. na ndio alicho sujilia ..ila kwa kuwa amesajili kama office suppliers haja jifunga kwenye specific iko wazi.. kusupplie chochote.

Sasa anauliza wenye wazo.. la Nini kina kuwa supplies kwa coperate companies nyingi hapa mjini ili aanze maana anaogopa kulipia pango kwa office kabla haja jua afanye nipi na kina mzunguko gani.

Hapa kuna wazoefu... tusimnyime wazo la kitu kinacho toka haraka..
Ishu ngumu kwenye kuanzisha shughuli ni mtaji na sio paper work
 
Je umeacha kazi kwenye kampuni ya xtraseen?
Mshauri afanye kazi ambayo wewe unaifanya kwa sasa au kama ni wewe fanya unayofanya kwasababu unauzoefu nayo kama umeajiriwa maanake uache ujiajiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In an INSTITUTIONAL LEVEL, do not believe in this aspect. Kampuni inatakiwa iwe na utamaduni wa kufosi... Tuma barua, tuma emails, na omba appointment kwa MD au DG. Huwez kufanikiwa kama utalegeza matako na kuamini kubebwa.

Pambana, mana hata huyo konekta atataka 10% ya faida itakayopatikana.
Narudia kama taasisi unatakiwa uwe na utamaduni wa kupush... By any means!
Huu ushauri mimi nauchukua japo sio mimi nilieomba.
 
I learn it from one of those successfuly medical supply firms in tz. Wanatumia barua,email, call, sms mpaka wasap na ukikaa vibaya unawakuta reception asubuhi. Na wanakuletea moto mpaka upagawee... Wanafanikiwa sana mana ukipiga bomu zote hizi kwa ofisi 20, you are more likely to win at least half of them
 
Hii mbinu ina tatizo la Kupata appointment watakwambia tuta kujibu.. kwa sasa hatu itaji , ooh tuna mtu tayari,nilisha jaribu sana, blocking inakuwa reception maana wana mpigia kifua mtu wao hivyo hawataki umfikie MD au DG..

balaa lingine kupata cotact ..nyngi online hazifanyi kazi
 
At last umefunguka kwamba huyo mtu aliekua anaomba ushauri ni wewe...😜
 
Hii mbinu ina tatizo la Kupata appointment watakwambia tuta kujibu.. kwa sasa hatu itaji , ooh tuna mtu tayari,nilisha jaribu sana, blocking inakuwa reception maana wana mpigia kifua mtu wao hivyo hawataki umfikie MD au DG..

balaa lingine kupata cotact ..nyngi online hazifanyi kazi
Coordination ya kampuni yako na relation inatumia mkakati gani?. Unwez kunitmia skeleton niuone
 
Back
Top Bottom