Na unaweza kuta pia hawakuwa na mahusiano, Marehemu pengine alibakwa au ilishindikana kubakwa.

Kwa haraka haraka inaelekea kulikuwa na varangati kubwa la kujitetea kabla Marehemu kuuawa
Walikuwa na mahusiano na walisex before kuuliwa ndo maan mwili ulikutwa uchi
 
Walikuwa na mahusiano na walisex before kuuliwa ndo maan mwili ulikutwa uchi
Kama umeninukuu vizuri, natetea suala la Marehemu kukutwa Uchi.

Kukutwa Uchi haina maana walikuwa kwenye Mahusiano, hata kubakwa au kwenye jaribio la kutaka kubakwa linaweza kusababisha mwili kukutwa Uchi
 
Mtuhumiwa alisema mwenyew walikuwa na mahusiano mda mrefu na namba yake ya simu alikuw nayo wanachat na sio mara moja kuingia umo ndan sema tu alimuua baada ya kumuomb aibe na akakataa ye mwenyewe alisema alimkatalia asiibe ndo kilichopelekea kukatisha uhai wake
 
Ujue hapa tunasikia stori ya upande mmoja, Marehemu ameshatangulia hatuwezi kuujua ukweli kwa kina.

Ujue linapotokea tukio kama hili, mara nyingi tunasikia taarifa tofauti tofauti, kila mmoja anasema lake.

Mbali na hayo, ahsante kwa ku share nasi uliyoyasikia wewe
 
Ushawahi kuibiwa wakati hamna mtu ndani ya nyumba? Ukiingia chumbani utakuta nguo zote chini,godoro limefunuliwa hadi foronya,masanduku yote wametoa kila kitu yote hio wanatafuta hela(hawajui umeacha hela ndani au la wanabahatisha).
Hiyo kweli kuna mmoja sijui nikina nani waliingia, mpenzi wake hakuwepo, aliiona funguo anapoweka alifanya kumwaga vitu nguo zile nikama karume hata sijui aliiba nini!
 
Boda na housegirl huwezi watenganisha
Na wanawapania kwelii
Sasa wakipata mimba wanavyokuwa wadogo...mmoja alipata mimba akawa hajui hata aliyempatia, akawa ananiambia nimsaidie akatoe nikakaza nkamwambia sitaki dhambi. Akaenda kuzaa alipomaliza akapata kazi shy huko mshahara sh 20000 kwa kuwa na mtoto anakuwa naye.
Alikoma sidhani kama atarudia
 
Ujue hapa tunasikia stori ya upande mmoja, Marehemu ameshatangulia hatuwezi kuujua ukweli kwa kina.

Ujue linapotokea tukio kama hili, mara nyingi tunasikia taarifa tofauti tofauti, kila mmoja anasema lake.

Mbali na hayo, ahsante kwa ku share nasi uliyoyasikia wewe
Watu wagumu kuelewa kweli kweli. Unaambiwa mtuhumiwa mwenyewe amekiri kwamba walikuwa wapenzi wa muda mrefu. Simu yake imeonesha meseji. Bado unakaza shingo? Au wewe ni kaka wa jambazi huyo?
 
Sisi bodaboda tunawapenda hawa wadada sababu wanapenda haswa wanakuzingatia sana hasa kwenye msosi halafu hawana gharama

Uta enjoy sana life halafu mapenzi ya wizi wizi yananoga sana
 
Watu wagumu kuelewa kweli kweli. Unaambiwa mtuhumiwa mwenyewe amekiri kwamba walikuwa wapenzi wa muda mrefu. Simu yake imeonesha meseji. Bado unakaza shingo? Au wewe ni kaka wa jambazi huyo?
Rejea tena juu kwenye bandiko na ulisome lote kuanzia mwanzo mpaka mwisho, hakuna sehemu yoyote inayosema Mtuhumiwa alikuwa na mahusiano na Marehemu.

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limemkamata na linamshikilia Selemani Haruna maarufu Kwata (24), Mkazi wa Kimara Temboni mtaa wa Amani, kwa tuhuma za kumuua Editha Charles (22) Mkerewe, Binti wa kazi za ndani na kuuficha mwili huo katika stoo ya vifaa vya ujenzi katika nyumba ya Agatha Stanslaus.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya DSM, Jumanne Muliro amesema “Uchunguzi wa awali umeonesha Mtuhumiwa tarehe 06/07/2022 asubuhi alifika kwenye nyumba aliyokuwa anayoishi Binti huyo wa kazi akijifanya fundi wa umeme na kwamba alitakiwa kuweka Balbu, alipoingia alimshambulia kwa kitu chenye ncha kali Binti huyo na kumuua halafu akavunja chumba cha mwenye nyumba na kuiba Tsh 1,800,000 na kutoweka”

“Polisi kwa Kutumia Watalaamu wake wa uchunguzi wa kisayansi na vyanzo vingine vya kiuchunguzi walibaini Mtuhumiwa huyo kuwa aliingia kwenye nyumba hiyo na kukaa kwa masaa kadhaa na kutoka, baada ya kumkamata na kumhoji kwa kina alikiri kumuua Binti huyo, kuvunja mlango wa chumba na kuiba pesa Tsh 1,800,000 na mwili wa marehemu aliuficha kwenye stoo ya nyumba hiyo huku akiwa ameufunika na vifaa mbalimbali vya ujenzi ili usionekane”

“Aliweza pia kuonesha kiasi cha pesa alizoziiba eneo hilo na pesa nyingine alidai mara baada ya tukio siku iliyofuata alinunua vitu mbalimbali zikiwemo simu mpya, viatu vya mpira pea 2, na begi la mgongoni lenye nguo mbalimbali mpya ambavyo navyo vimepatikana, kitendo alichofanya Mtuhumiwa ni cha ukatili ulipita kiasi, uchunguzi wa shauri hili unakamilishwa na atafikishwa katika mifumo ya kisheria ikiwemo Mahakamani haraka”
 
Back
Top Bottom