Amoni jishike,wameanza tena!

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Jamaa mmoja na mkewe pamoja na watoto wao wawili,amina na amoni walikuwa wakiishi kwenye chumba kimoja tu.Amina alikuwa na miaka 8 na amoni alikuwa na miaka 5.Ilikuwa ikifika night,wote wanalala bed moja na watoto.Sasa kabla ya ku do majamboz inawabidi wahakikishe watoto wamelala.Siku moja walipo hisi watoto wamelala,wakaanza ku do kwa spidi kali na katika process hiyo,wakampiga kumbo mtoto amoni mpaka chini.Wakamwokota wakaendelea kulala.Wazazi hawakuridhika,wakatafuta gap usiku huo huo,wakaanza tena ligi,mara wakamsikia amina akisema;'Amoni mdogo wangu jishikilie vizuri,wameanza tena!'.
 
Jamaa mmoja na mkewe pamoja na watoto wao wawili,amina na amoni walikuwa wakiishi kwenye chumba kimoja tu.Amina alikuwa na miaka 8 na amoni alikuwa na miaka 5.Ilikuwa ikifika night,wote wanalala bed moja na watoto.Sasa kabla ya ku do majamboz inawabidi wahakikishe watoto wamelala.Siku moja walipo hisi watoto wamelala,wakaanza ku do kwa spidi kali na katika process hiyo,wakampiga kumbo mtoto amoni mpaka chini.Wakamwokota wakaendelea kulala.Wazazi hawakuridhika,wakatafuta gap usiku huo huo,wakaanza tena ligi,mara wakamsikia sara akisema;'Amoni mdogo wangu jishikilie vizuri,wameanza tena!'.
Stori za kutunga utazijua tu maana sijajua huyu sara ni nani, au ni jina la mama watoto???
 
Ooops,nimefanya mistake,ila kuna kitu sikujua kumbe wenzangu hizo jokes mnapost ni reality kabisa,basi kuanzia leo itabidi niwaachie wale wanao post ukweli mtupu.
 
Jamaa mmoja na mkewe pamoja na watoto wao wawili,amina na amoni walikuwa wakiishi kwenye chumba kimoja tu.Amina alikuwa na miaka 8 na amoni alikuwa na miaka 5.Ilikuwa ikifika night,wote wanalala bed moja na watoto.Sasa kabla ya ku do majamboz inawabidi wahakikishe watoto wamelala.Siku moja walipo hisi watoto wamelala,wakaanza ku do kwa spidi kali na katika process hiyo,wakampiga kumbo mtoto amoni mpaka chini.Wakamwokota wakaendelea kulala.Wazazi hawakuridhika,wakatafuta gap usiku huo huo,wakaanza tena ligi,mara wakamsikia amina akisema;'Amoni mdogo wangu jishikilie vizuri,wameanza tena!'.

mbona mimi hilo jna la sara hapa silioni jamani, au nitafute miwani ya mbao.
 
Ndo MABINGWA WA KUCHAKACHUA HAO... Mpaka JF WAMEVAMIA AMINA VS SARA! Ujnga m2pu, kutaka wenzao waonekane hamnazo!
 
Back
Top Bottom