Duduwasha
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 5,703
- 3,653
Hili Game linaoneshwa Live na ITV But sijaelwa uwanja upo tupu na kuna watu wanatizama kupitia kwenye maghorofa yaliyo karibu na uwanja wa Sheikh amri Abeid Karume.. Je Kiingilio waliweka kikubwa au Mkuu wa Mkoa lijua ni Dili Sasa kakosa Watu Mchezo wa kigeni first Time lazima uwe Bure... Hata DSTV Illipoingia TZ Ilikuwa bure tulitizama Socer Rugby na huo pia American Football!!! Serikali Zindukeni Mnatia Aibu