jamani kwaresma hii.....
Hahaha!huyu akipigwa picha ya passport si unaweza apa ni njemba ?Mipaja imo ila sijui anakula mbilimbi!!??Sijui kabila gani huyu mwanamke huyu humkoromei!!kifara anakuzibua unatia akili ndo unalaga zako kichwani imekula kwako!!
Kwani picha zote zinazowekwa humu huwa zimepewa ruhusa?????jamani hizi picha za watu!!! ameruhusu itumike hapa!!??
Huyu ana jinsia gani?
kwanini picha zingine mimi huwa sizioni, kama hii kwa mfano, na ile ya samaki pia, mwenye kufahamu zaidi tafadhali anijuze.
Kakaa kama muuza sukari....
Mzuri sana !! Kila kitu chake kizuri , Lips , Sura , Umbo , rangi . Nywele. Hakujichubuwa , hakupiga pasi nywele . A true African beauty at its best. Yuko wapi huyu jamani ?
Body lake zuri, athletic ila kichwa lazima umfunike na pillow.