klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,648
- 5,139
Ok gud nite shemeji! acha nizime taa.twenzetu mwaya. Wanga wenzetu washasepa.
Leave ze message after ze tone. twiiiiii
Ok gud nite shemeji! acha nizime taa.twenzetu mwaya. Wanga wenzetu washasepa.
heheheheh tunabidii ila wanaJF hawataki kupokea mchango wetu kwa mikono miwiliNi kwasababu Tuna uzalendo na JF. Nyinyi wengine magumashi. Hamchangii kwa bidii
kal ho na hooo!
twenzetu mwaya. Wanga wenzetu washasepa.
ww utakua kabib flani hiviiMmm! Ndo nini hiyo? Mi naogopa, kwa heri!
Lete karata tucheze mkuu tusogeze usikuMiye Leo sina usingizi
Mkwe kalaleMiye Leo sina usingizi
umekula daku ukashiba?Miye Leo sina usingizi
Mkwe sina hata lepe ..nahis natoboa leoMkwe kalale
Muda wa daku badoumekula daku ukashiba?
Mwenyewe usingizi kaenda kwao.Mkwe sina hata lepe ..nahis natoboa leo
hapa naangalia wahindi tuu!Mwenyewe usingizi kaenda kwao.
Mi nacheza game na kuchat whatsapp. Wote ninaochat nao wamelala nimekuja kuvutia muda hukuhapa naangalia wahindi tuu!
Yaani IG kumepoa Leo.. Huku nako hvyo..wasap wamelala!Mi nacheza game na kuchat whatsapp. Wote ninaochat nao wamelala nimekuja kuvutia muda huku