Ambassador from Tanzania: Who is Mwanaidi Maajar?

.......lakini kwenye ukweli uongo hujitenga kule UK ameacha historia ya kuchapa kazi, huyu ni mchapa kazi sana na anafaa sana kwa taifa, sio goi goi!

Willie @ NYC, USA.

hahaha, takwimu za kufikirika. no evidence, just generalization. who trusts this?
 
- Mkuu chonde chonde, huyu mama ameacha shirika lake la Sheria, la 50 Million Shillings per year kulijenga taifa na mshahara wetu mbuzi, please mkuu yale matangazo yametuinua sana taifa, I mean sio kila ishu iwe ligi tu kwenye hili taifa tunao wachapa kazi na huyu mama ni mmojawapo ,mimi sijaona wala kusikia makosa yake kwa taifa na ninaomba kunawa mikono na hii mada, maana sasa hivi mtaanza kumtukana mama wa watu bila sababu za msingi, I mean sometimes tuwe na shukrani wanapotokea viongozi wanaofaa, baadala ya kuwashambulia tuu! khaaaaa! Huyu mama amekosa nini hasa?

- Alipokwenda UK ameshambuliwa wee! lakini kwenye ukweli uongo hujitenga kule UK ameacha historia ya kuchapa kazi, huyu ni mchapa kazi sana na anafaa sana kwa taifa, sio goi goi!

Willie @ NYC, USA.
Anahusishwa na kashfa za Tanesco na Rex Attorneys, hana jina zuri sana.

Hakuwa na experties wala background ya foreign service kupewa nafasi kama UK na US.

Shilingi milioni 50 kwa mwaka za uwakili ni sawa na dola 30,000. Balozi wa Tanzania Marekani na marupurupu yake anaweza kufikisha au kuzidi hizo, kwa hiyo haja sacrifice sana. Na mwanasheria wa kibongo kupata diplomatic reasons and clearance za kwenda 10 Downing na 1600 Pennyslvania ni bora kuliko kuzunguka zunguka na rushwa za TANESCO makarani wa mahakama za wilaya na rufaa. Amefurahi.

Wewe mwenyewe ume wonder huyu mtu hujui alifika fikaje kwenye ubalozi. Sasa tusitafute mialiko ya kwenda Overhill Road kwa njia cheap cheap.
 
Tuwe na shukran? for real? Hebu tupumzisheni.
 
Impressive resume.
I had an opportunity to meet her in person at a party last fall. I like her simplicity and humble personality. She is very polite, eager to listen and paying attention when taliking to her, always smiling and can talk to anyone, unlike most of her predecessors who were not approachable at all. On numerous occasions I called the embassy for business maters and believe me or not the staff there are kinda rude on the phone, may be forgetting the fact that they are no longer in bongo and they need to respond to callers with courtesy and good telephone manners pertaining to the American standards. Mko US sasa na majibu yenu ya kujibu watu ovyo myaache hukohuko bongo. I hope the embassy staff would learn a lot from her. Okidoki!!

aaah mze wa kisimii.... wenzako fall hatuijui tunajua kipupwe, masika, vuli na kiangazi

naona kagamba kanakuzingua ushajiona sio mbongo... heheheee kicheko juu ya kituko!!!!! ati american standard, kweli maskini akipata matak0 hulia mbwata

LOL
 
- Mkuu chonde chonde, huyu mama ameacha shirika lake la Sheria, la 50 Million Shillings per year kulijenga taifa na mshahara wetu mbuzi, please mkuu yale matangazo yametuinua sana taifa, I mean sio kila ishu iwe ligi tu kwenye hili taifa tunao wachapa kazi na huyu mama ni mmojawapo ,mimi sijaona wala kusikia makosa yake kwa taifa na ninaomba kunawa mikono na hii mada, maana sasa hivi mtaanza kumtukana mama wa watu bila sababu za msingi, I mean sometimes tuwe na shukrani wanapotokea viongozi wanaofaa, baadala ya kuwashambulia tuu! khaaaaa! Huyu mama amekosa nini hasa?

- Alipokwenda UK ameshambuliwa wee! lakini kwenye ukweli uongo hujitenga kule UK ameacha historia ya kuchapa kazi, huyu ni mchapa kazi sana na anafaa sana kwa taifa, sio goi goi!

Willie @ NYC, USA.

partly yes, but she couldnt leave a job without equivalent honor... as a private dude, you pay for most but as a public servant especially her, she equate the figures

But all in all, i respect Maajar and i think she is a good ambassador (hayo ya tanesco she was flowing with the system she grew in)

I woudl support this mama anywhere, and any time

Thanks Bill
 
Tuwe na shukran? for real? Hebu tupumzisheni.

pal, hamna haja ya shukrani kama hajatufanyia chochote... but Mwanaidi is wayyyy better than most of our balozis... on tanesco, yes she fooked us just like Marando alwayd does
 
Siyo lazima uchangie kila article kama unaona hauna point. Huyo Mama Balozi kafanya mambo ya maana. Mpe heshima yake.
Hata Lowasa kafanya mambo ya maana. Tena mengi sana kuliko Huyo mama. Double standard za nini?
 
Impressive resume.
I had an opportunity to meet her in person at a party last fall. I like her simplicity and humble personality. She is very polite, eager to listen and paying attention when taliking to her, always smiling and can talk to anyone, unlike most of her predecessors who were not approachable at all. On numerous occasions I called the embassy for business maters and believe me or not the staff there are kinda rude on the phone, may be forgetting the fact that they are no longer in bongo and they need to respond to callers with courtesy and good telephone manners pertaining to the American standards. Mko US sasa na majibu yenu ya kujibu watu ovyo myaache hukohuko bongo. I hope the embassy staff would learn a lot from her. Okidoki!!
hata akiwa polite na tabasamu jingi Hiyo haitoshi kumfanya mwema. Wajifunze nini wewe politeness na tabasamu ama kazi ndo msingi wa maendeleo?
 
Tusiwe wavivu wa kufanya uchambuzi!! Hivi, all all the people waliopo Foreign Affairs, waliosomea International Relations & Diplomacy...wenye Ph.D na uzoefu wa miaka mingi JK alimuona Mama Majaar peke yake??.....kuna kingine zaidi ya hiyo CV (angempa kazi Ministry of Justice basi)...huyu alipelekwa nje...kurahisisha baadhi ya mambo! Fumbueni macho na masikio...nuseni!!!

Acha wivu na UDINI, Kikweli CV imetulia hiyo. Lete hoja nyingine.

Hongera sana Mama.
 
- Mkuu chonde chonde, huyu mama ameacha shirika lake la Sheria, la 50 Million Shillings per year kulijenga taifa na mshahara wetu mbuzi, please mkuu yale matangazo yametuinua sana taifa, I mean sio kila ishu iwe ligi tu kwenye hili taifa tunao wachapa kazi na huyu mama ni mmojawapo ,mimi sijaona wala kusikia makosa yake kwa taifa na ninaomba kunawa mikono na hii mada, maana sasa hivi mtaanza kumtukana mama wa watu bila sababu za msingi, I mean sometimes tuwe na shukrani wanapotokea viongozi wanaofaa, baadala ya kuwashambulia tuu! khaaaaa! Huyu mama amekosa nini hasa?

- Alipokwenda UK ameshambuliwa wee! lakini kwenye ukweli uongo hujitenga kule UK ameacha historia ya kuchapa kazi, huyu ni mchapa kazi sana na anafaa sana kwa taifa, sio goi goi!

Willie @ NYC, USA.
Mkuu naona umenunuliwa kuwatetea mafisadi wa chama chako kwa nguvu zote. In red, if you have not seen and heard, why not shut your big mouth and learn what you are told. You see my brother I hate people who tend to defend every wickedness of this government. How often have you denied the truth about dubious moves done by your fathers (government). You (CCM) tend to deny every thing, and actually you always change the colors (Black to white). Kama hujui kuwa huyu mama ni fisadi jifunze na ameingia hapo kimagumashi, learn from today. Hujui hawa Rex Attorneys wameingamiza hii nchi kiasi gani.
 
" Mkuu chonde chonde, huyu mama ameacha shirika lake la Sheria, la 50 Million Shillings per year kulijenga taifa na mshahara wetu mbuzi, please mkuu yale matangazo yametuinua sana taifa" w.j.malecela.

unapotetea vitu vyako vya ajabu ajabu jaribu basi kutoa ushahidi unaposema ameacha mshahara wa mil.50 kwa mwaka kwa ajili ya kupata mshahara mbuzi ubalozini bila kutaja mshahara anaopata sasa kama balozi ni kiasi gani huo si ustaraabu.na pia unasema kuwa matangazo yalituinua sana bila kusema how huo pia ni kutaka kutetea none sense mimi ninaweza kukutolea mipicha kibao ya kitchen party alizoudhuria at tax payers expense naomba na wewe utoe takwimu za jinsi matangazo yalivyoongeza utalii nyumbani kuthibitisha statement yako.
 
Mimi binafsi nilikutana nae kwenye mikutano takriban mitatu mpaka minne wakati akiwa UK pamoja na Mtanzania mwingine Bw Alli Maulid (mwakilishi wa kampuni ya madini ya mwadui kule UK)

Kwa kweli nilimkubali sana kwa point na uzalendo wake ukilinganisha na mabalozi wengi wa tanzania niliokwisha kuonana nao kwenye mikutano mbalimbali ya kuichumi.

Nafikiri wengi sana na hili ni tatizo kubwa kwa Watanganyika ni UDINI. mama huyu anahukumiwa kwa ajili ya dini yake na sio utendaji wake.
 
Hivi Foreign Affairs hakuna wanataaluma ambao ni wanadiplomasia halisi? Inashangaza UN yupo mwandishi wa habari; Washington kuna wakili; hivi mh. Membe hana wanadiplomasia wa kutosha mpaka balozi zetu wapelekwe watu wa fani tofauti? Huyu mama kama sikosei alikuwa die hard member wa cuf, pili hakuwa mwajiriwa wa serikali pamoja na kuwa mh.Raisi ana mamlaka ya kumteua mtu yeyote kidogo kuna mushkeli kwenye uteuzi wake kama ni suala la kuwa yeye ni lawyer nadhani pale sheria kuna malawyer waliobobea; hapo pana sirikali just, uteuzi wake hauhusiani na udini wala mapenzi just connect the dots

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
Mimi binafsi nilikutana nae kwenye mikutano takriban mitatu mpaka minne wakati akiwa UK pamoja na Mtanzania mwingine Bw Alli Maulid (mwakilishi wa kampuni ya madini ya mwadui kule UK)Kwa kweli nilimkubali sana kwa point na uzalendo wake ukilinganisha na mabalozi wengi wa tanzania niliokwisha kuonana nao kwenye mikutano mbalimbali ya kuichumi.Nafikiri wengi sana na hili ni tatizo kubwa kwa Watanganyika ni UDINI. mama huyu anahukumiwa kwa ajili ya dini yake na sio utendaji wake.
Hivi mbona siku hizi watanzania tunakimbilia sana kisingizio cha dini? ..kitu kdg tu tayari utasikia udini, kwanini?? ..hamtaki watu waseme ukweli? Ni kweli kwamba Rex attorney wameingiza serikali mkenge kwa dowans, kwahiyo hamtaki watu waseme kama yy ni mmoja wao? ..kisa udini? ...acheni hizo, ameenda USA muda mfupi tu tayari tuna symbion power.
 
Hivi Foreign Affairs hakuna wanataaluma ambao ni wanadiplomasia halisi? Inashangaza UN yupo mwandishi wa habari; Washington kuna wakili; hivi mh. Membe hana wanadiplomasia wa kutosha mpaka balozi zetu wapelekwe watu wa fani tofauti? mabalozi wenu wa UN

Chama
Gongo la Mboto DSM

Jamani angalieni historia ya mabalozi wenu tokea mpate uhuru ikoje ukilinganisha na Mama Maajare.
 
Anahusishwa na kashfa za Tanesco na Rex Attorneys, hana jina zuri sana.

Hakuwa na experties wala background ya foreign service kupewa nafasi kama UK na US.

Shilingi milioni 50 kwa mwaka za uwakili ni sawa na dola 30,000. Balozi wa Tanzania Marekani na marupurupu yake anaweza kufikisha au kuzidi hizo, kwa hiyo haja sacrifice sana. Na mwanasheria wa kibongo kupata diplomatic reasons and clearance za kwenda 10 Downing na 1600 Pennyslvania ni bora kuliko kuzunguka zunguka na rushwa za TANESCO makarani wa mahakama za wilaya na rufaa. Amefurahi.

Wewe mwenyewe ume wonder huyu mtu hujui alifika fikaje kwenye ubalozi. Sasa tusitafute mialiko ya kwenda Overhill Road kwa njia cheap cheap.

- Unajua ndio mambo ya territory kila ninalosema lazima lina agenda, lakini hainizuii kuchangia Taifa langu ninasema hivi sijaona wala kusikia makosa ya huyu mama kama ni Tanesco, hil;o shirika limeoza toka hata huyu mama hajaingia ubalizoni, kama ana makosa abasi yawekeni hapa tuyachambue! badala ya overhill road!

Willie @ NYC, USA.
 
Back
Top Bottom