Ama M23 wataiteka Goma au majeshi ya SADC yataingia Ikulu Kigali

Ni kama kusema kabadilisha mikoa miwili ya DRC .....kua na lami naumeme....Rwanda padogo sana.....ni rahisi kujenga miundo mbinu.
Au kabadilisha kua ya watusi pekee
Ukubwa wa jiografia ya nchi siyo kipimo cha maendeleo mkuu. Visiwa vya japan ni eneo dogo sana lakini Afrika nzima hatuwezi kuukuta uchumi wa japan.
 
Ukubwa wa jiografia ya nchi siyo kipimo cha maendeleo mkuu. Visiwa vya japan ni eneo dogo sana lakini Afrika nzima hatuwezi kuukuta uchumi wa japan.
Upo sahii mkuu ila maendekeo ya rwanda ni network ya barabara tu na maghorofa kigali......nitajie nchi ndogo ambayo haina miundombinu ya barabara thabiti.....!!!
Labda equatorial guinea...!!!
Maana wanyarwanda wanamsifia kagame kujenga barabara nchi nzima......na kujenga maghorofa na barabara za mitaani kigali..!!!
 
Afu mkuu nisaidie kitu na unitajie ni sehemu gani mwaka 1998 majeshi ya Zimbabwe yaliyashinda majeshi ya Rwanda.....ebu tukumbushe hiyo battle ilifanyika eneo gani na ZDF walitumia aina gani za ndege kuwashinda hao wanyarwanda.......???
Maana tulikuepo kule mwaka 1998 na mzee wetu wa UDSM Profesa Dia Wamba na tulishuudia yote mpaka fierce battle ya Kisangani.
Ambapo tulicount maiti 600 wa wanajeshi wa Rwanda na maiti 248 za wanajeshi wa UPDF.
Na maiti za raia 1900 wasiokua na hatia.......!!!!!
Screenshot_20191206-224833.png


Screenshot_20191206-224933.png

Screenshot_20191206-225005.png
 
Nakujibu ifuatavyo.......wewe hujawahi kuishi rwanda......umeongea pointi za kwenye magazeti.
Ni kweli Rwanda haiwezi kuishinda SAR au SADC....na pia ukweli ni kwamba Ujerumani hainunui silaha nzito SAR......kama zipo zitaje afu wadau wa uwanja wa vita....tutakuambia hizo silaha ni nzito au nyepesi na tutakuambia pia ni za daraja lipi
.Lakini hujui chochote kuhusu vurugu za ukanda wa maziwa makuu hujawahi kuishi huko zaidi ya kuleta habari za kusoma magazetini na sio uhalisia.
Kusema Israel ni bingwa wa propaganda huo ni uongo.....sababu ipo wazi kati ya MAYAHUDI NA MAARABU nani bingwa wa propaganda....since 1958.Na kwa maelezo yako msimamo wako kati ya waarabu na wayahudi unaonekana wazi unaegemea upande upi.
Ufanisi wa mambo hasa ya kivita au usalama,sio mambo ya muziki au siasa,na haupimwi na views za Instagram...ambazo zinaweza kufojiwa.
Screenshot 2024-03-03 225113.png

Screenshot 2024-03-03 225407.png

Screenshot 2024-03-03 225811.png


Karibu sana duniani.
 
Wewe unaota Ndoto za mchana, Kigali hauijui hata kidogo. hao M23 wenyewe Kishekedi na Majeshi yake yooote, Akisaidiwa na Jeshi la Burundi, Akisaidiwa na Kundi zima la Wazalendo ambalo ni mkusanyiko wa makundi ya wapiganaji yapatayo 120, Ongezea kikosi kutoka SA, Ongezea Kikosi kutoka Malawi, Ongezea Kikosi kutoka TZ na Jeshi zima la Monusco hao wote wameshindwa hata kuchukua mita 100 za M23 halafu eti wataenda Kigali, you dont know what you are saying.
Kwa taarifa yako sasa, vijana wenu wanateketezwa kila kukicha, jana tu APC mbili za TZ zimeunguzwa na waliokuwemo ndani hakutoa mtu. Sasa kama M23 inawatoa kamasi ndio waende Kigali!! Hakuna kitu kama hicho.
Mh Kikwete aliwazima ndani ya siku moja ni kwamba tu watu hawajaamua
 
80% ya Wananchi wa Rwanda ni Wahutu.

nchi kama Tanzania zinatumia Hekima kudeal na Rwanda, tungeamua kutumia Silaha ya Ukabila tungewachukua hao Waasi wa Kihutu na kuwapea Mafunzo kigoma na Kagera, kama Rwanda Mwanaume angejaribu aone, the same approach tulifanya Uganda, Iddi Amini alipojichanganya tu mzikia akausoma
 
Wewe kumbe unasoma mada za watu na hujawahi kuishi Kigali au kisangani au Miduha au Kasongo....!!!
Kumbe ww ni wale wasoma makala za waandishi wa habari afu mnajifanya wajuaji kuliko wakazi wenyewe.
Sasa sisi tulioishi miongo mitatu tusemeje???
Hujawahi kushuhudia hata battle moja kati ya vikosi vya FARDC na washirika wake dhidi ya wanyarwanda na waganda zaidi ya kusoma vijarida...!!!
 
Kagame na Museveni wanapenda sana Vita.
Toka waingie madarakani wanapigana kila kukicha.
M23 ni yao.
 
Back
Top Bottom