Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 2,226
- 4,729
Ama kweli ngoma ya watoto haikeshi kelele zote zile za upotoshaji kuhusu uwekezaji bandarini zimeyeyuka kama mvuke!
Wadau hamjamboni nyote?
Sisi wazoefu tulijua kuwa:
Wenzetu wale wataishiwa pumzi mapemaa
Ngoma ya watoto haikeshi hata siku moja
Uongo una desturi ya kujitenga na ukwel
Kelele za chura hazina athari yeyote kwa yaliyo mema
Lengo lao ni kuichafua Serikali ya CCM kwa maslahi yao binafsi, familia zao pamoja na wale waliowatuma
Wenzetu wao siku zote hawana sera bali ni watu wa matukio tu.
Hatimaye mbivu na mbichi zimeonekana pongezi kwa Serikali kuelimisha vema WATANZANIA kuhusu uwekezaji bandarini.
Pongezi Watanzania kwa kukataa kabisa upotoshaji wa wale waliokosa Uzalendo kwa nchi yao
KaziIendelee
Tunatekeleza kwa vitendo
Uwekezaji bandarini kwa faida yetu sote
Tunasubiri mje na uzushi mingine tutawajibi ipasavyo!