Am looking Real man to be my fiancee...later awe Mume wangu. But am She-Male (serious)

Kinasimama na kinafanya kazi kama cha mwanaume.
Tena ndo kina nguvu more than a v.a.g.in!!
Sasa hapa unataka kuoa au kuolewa?,mbona unachanganta hapa,kama ya kiume ina nguvu kuliko ya kike huyo mumeo atakua anafanyia wapi?
 
Habari zenu.
Natafuta mwanaume ambae endapo atakubaliana na hali yangu kimaumbile aweze kuwa Mchumba wangu na baadae awe Mume wangu.
Mimi ni mwanamke kamili isipokuwa ni She-Male yaani nina kiungo cha kiume pia.
Jamani sitaki utani,kejeli,kashfa matusi wala dharau.
Sichagui dini,kabila,rangi,umbo wala kipato(japo wenye kujiajiri/kuajiriwa watapewa kipaumbele),
Awe na umri kuanzia 29-32,
umri wangu ni 28,Mkristo na ninaishi Magomeni,DSM.
Alie tayari tuwasiliane zaidi.
Mungu awabariki.
Una kiungo cha kiume au una kinnembe kikubwa?? Wengi hamjitambui siku hizi.
 
Be careful kuna Wengine hawana nia Nzuri. Wao wanataka tu kuja kushuhudia U-shemale wako. Akakae kijiweni asimulie Kwamba ameshawahi kumwona Shemale.... Refer AGNES MASOGANGE alichofanyiwa. So be Careful
masogange ni shemale?? aaah, u cant b serious!!
 
Back
Top Bottom