Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 609
- 1,563
Uko vizuri sana kijana na ndio maana kocha kakuona na kakujumisha kwenye kikosi Cha awali Cha timu ya Taifa ya Ivory coast sio jambo dogo!
Lakini imekuwa ngumu kupenya mbele ya wachezaji wakubwa wanaokipiga ulaya wanaocheza nafasi yako ambao ni:
1)Ibrahim sangare-Notingham forest-England
2)Jean Michael serri-Hull city-England
3)Idrissa doumbia-Ahli-Qatar
4)Simon adingra-Brighton-England
5)Jeremy boga-Nice-france
6)Oumar diakite-Rems-france
Tunajua na wao walianza Kama wewe na wakatoboa ivyo na wewe usikate tamaa umeonyesha mwanga kuelekea mafanikio endelea kukiwasha utafika panapotakiwa inshallah!