...................also known as................

<msichana malaya/kiluka njia/mlupo/changu/maharage ya mbeya/cha wote/daladala
<Mapenzi kinyume na maumbile/kisamvu cha kopo/tigo/o/ndogo/msalimie mjomba/sema usikike
 
figganigga, fais buku, shule za kata, juice, -------feli ya kigamboni, ngeleja, hamad, matofali, maua, jua. beseni, njia panda ya himo zuria,----- paw, mchina, morogoro road, barrack obama, jairo, masabuli, kirikou, tanesco, chapati, george maratu, bamping,------ azam milk, mapenzi, ticts, khalfan kikwete,----- maralia sugu, maandamano, hotpot, nanasi, sisimizi, taulo, ggm, msg, hhp, BTW, btn, startimes, ------vinega, sefuria, mambo ya kikubwa, tuntu,....n.k. Mia

hahahahahaha figganigga what were you thinking jamani...
 
Profesa jay/the heavy weight/wamitulinga/mtimkavu/joseph haule
mr blue/kabaisa/young babiloni/henry rajabu
sharobalo/mr chocolate flava/raisi wa wasafi/raisi wa watanashati
kibla/nature/kiroboto
 
hahahahahaha figganigga what were you thinking jamani...

as known as. jina ni jina tu ndo maana hata mbwa ana jina. je kuna tofauti yoyote kati ya majina nilotaja na majina wengine walotaja? Mia
 
Hii ndio raha ya chitchat,......Wali,ubwabwa,mpunga,ubweche,chakula cha ndenge.....!
 
Lady jaydee/binti machozi/komando/mama some food/mrs gadna
a.y/mzee wa comercial/ambwene yesaya
 
Bungeni/mjengoni/kwa wakubwa/poshoni
manchester united/man u/red devils/watoto wa ferguson/man six
 
Nywele /nyusi/kope/mustachi/ndevu/garden love/.............../vinyweleo gari la abiria/kipanya/daladala
mama ntilie/mama muuza/mama njazie/mama mpishi
wa mwisho/kilaza/mkia/kichwa box/hamnazo
choka mbaya uswaz/uswahilini/mbazu za mbwa/maisha magumu
 
figganigga, fais buku, shule za kata, juice, -------feli ya kigamboni, ngeleja, hamad, matofali, maua, jua. beseni, njia panda ya himo zuria,----- paw, mchina, morogoro road, barrack obama, jairo, masabuli, kirikou, tanesco, chapati, george maratu, bamping,------ azam milk, mapenzi, ticts, khalfan kikwete,----- maralia sugu, maandamano, hotpot, nanasi, sisimizi, taulo, ggm, msg, hhp, BTW, btn, startimes, ------vinega, sefuria, mambo ya kikubwa, tuntu,....n.k. Mia

Ha ha ha ha mweh mia bana dah u made my day
 
Umangimeza, mkurabita, mchakato, changamoto, mmem, upe, ukiritimba, ujasiriamali, mkakati, mchakato, hadidu za rejea, jokofu, kiyoyozi, king'amuzi, tindikali, kurunzi, mkonombao, patasi, kongamano, warsha, tovuti, aaaaaaah nimechoka bana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom