Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,476
- 39,995
- Thread starter
- #21
IO.. umesoma hiyo attachment? kwa sababu ndani yake kuna madai mazito yanayohusu kwanini bado ni CEO..
Give me a break, stop this please: Alphonce ana uwezo mdogo? Labda umtuhumu ufisadi; hapo umegonga mwamba.
Nafikiri ww ni mmoja wa waliofaidi mapungufu ya kiungozi ya Kihwele Otherwise hakuna mtu anayewaza kwa kutumia kichwa na anaijua Benki ya Posta anaweza kumpa Kihwele Credit.Lakini wale wanaotumia moyo kuwaza na wale ambao walitumia udhaifu wa kiungozi wa kihwele kama Kajula wanaweza kumsifia hata ikibidi kufa.M'kijiji,
Thank you!!!
Issue kubwa hapa naona kuwa nini kwa nini Alphone hawezi kuachia cheo. Yaani kustaafu, na wengine wachukue hicho cheo. Halafu baada ya kushindwa kumwondoa kwa sheria (sijui ni ipi); tuna-mbatiza ni fisadi. Let us prove, ufisadi wake with solid evidence. It may be true the guy is corrupt (maybe just for now); the days I knew him he was really a serious guy. Labourious hard working with high skills in Banking sector. He is among the Best CEO; I can compare him to Mr. Kimei, Ballali etc.
Wito kwa vijana wenye uwezo: I don't think it is good to harbour hate, in case you are intelligent and you can do the job, go on and bring evidence, but talking behind scenes, it is a waste of time. These guys will stay there and nobody will move them, generations will pass.
Otherwise mleta habari hii atwambie je nia yake ni Alphonce retirement au ufisadi? Does he handle well his job?? Do we still need him? Note that he is still at his 60s. Do we have a suitable substitute??
Mkuu MMMara ya mwisho nilipodokeza juu ya kinachoendelea ndani ya Benki ya Posta kulisababisha baadhi ya watu kupoteza kazi zao. Hekima iliniita kuangalia jambo hili kwa namna tofauti tena. Nilitumaini mambo haya yangewaamsha watawala wetu kufuatilia na hatimaye kufanya mabadiliko yanayohitajika. Lakini wapi.
CEO wa Benki hiyo Bw. Alphonse Kihwele analalamikiwa kung'ang'ania madaraka yake hayo kwa kutumia vitisho na hata kudai mambo ambayo si ya kweli. Ripoti ya kwanza juu ya ufisadi chini yake ilidokezwa hapa miaka kama miwili iliyopita hivi.
Tunairudia tena ripoti ile hapa na kujiuliza hivi bado kuna mtu yeyote anayeweza kumuondoa huyo jamaa hapa au ndiyo hivyo tena?
Kwa huyu kila Muislam uwezo wake ni mdogo anahitaji kusamehewaKwa huyu kila Mkristo uwezo wake ni mdogo anaitaji kusamehewa
Nafikiri ww ni mmoja wa waliofaidi mapungufu ya kiungozi ya Kihwele Otherwise hakuna mtu anayewaza kwa kutumia kichwa na anaijua Benki ya Posta anaweza kumpa Kihwele Credit.Lakini wale wanaotumia moyo kuwaza na wale ambao walitumia udhaifu wa kiungozi wa kihwele kama Kajula wanaweza kumsifia hata ikibidi kufa.
Hebu katika kusanifisha sifa za Kihwele kama CEO bora tupe japo kiduchu hayo mafanikio yanayokusukuma kumpa sifa
Mkuu MM
Heshima kwako
Ukweli ni kwamba Kihwele alistaafu rasmi (Kwa lazima) Miaka 12 iliyopita,Baada ya hapo amekuwa akipewa mikataba ya miaka mitatu mitatu,Mkataba huu uliomalizika mwishoni mwa november ulipatikana baada ya kughushi barua ya Board of Directors,baada ya kashfa ya kughushi kujulikana kwa mama Zakia Meghji mambo yalikuwa yamchachie,kufa kufaana,wakati mchakato wa kuchunguza uhalali wa ukurugenzi wake,Mama Zakia aliachia ngazi,post akachua my friend Mkullo,Mkullo Akapigwa changa la macho kwa kupewa 50m za kugombea ujumbe wa NEC na kufumba macho kabisaaaaa.
Kwa ukweli ulioewazi CV ya utendaji mzuri acha uliotukuka hana
Kikubwa katika CV yake ni kwamba wakati anabaliki ndoa na Mke wake BEST MAN alikuwa Abson Mwang'onda (Fikilini wenyewe)
KWANINI MZEE ALPHONSE HAWEZI KUACHIA NGAZI.
kipato chake cha pension ni kidogo mno na hana mradi mbadala wa kuendesha maisha yake,isitoshe mamaa ni mdhaifu,kama mkimtoa Kihwele bank ya posta Mmeua.
Kihwele anajua nini anafanya piga au kwa hiari hatoki Benki Ya posta hata kama mkataba umekwisha.
Amekomba stahili hata zisizostahili zake kaanza upya,Zisizo stahili ni kwamba kihwele wakati yupo kwenye Mkataba na anlipwa Gratuity bado amekuwa akilipiwa michango kwenda taasisi ya Hifadhi ya Jamii,hii ina maana benki ya posta inamlipa Kihwele mara mbili,hili naye analijua na kwa ujanja alifanya haraka kudai malipo toka hifadhi ya jamii.
Kwa kweli pension anayopata inamtosha kununulia dawa ya viatu,mnafikiri mahitaji mengine ayatoe wapi.
BRAVO KIHWELE,ng'ang'ania baraka za benki