Ally Kamwe, waliocheza na TP Mazembe sio wachezaji wa akiba, omba radhi

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,319
12,622
Jamani msemaji wa timu sio MC kuwa unaweza kusema chochote. Ally Kamwe alisikika akisema wachezaji wa akiba wa timu ya Yanga ndio waliocheza na kupata ushindi dhidi ya TP Mazembe kule DR Congo baada ya kukosekana Aziz, Morrison, Diara, Aucho na DJuma kwenye kikosi.

Ni kweli waliocheza ni wachezaji wa akiba? Kusema hivyo ni sawa kwa Yanga, wachezaji na mashabiki wa Yanga? Hayo ni mawazo yake au hata Benchi la Ufundi na Uongozi unaona hivyo?
 
Jamani msemaji wa timu sio MC kuwa unaweza kusema chochote. Ally Kamwe alisikika akisema wachezaji wa akiba wa timu ya Yanga ndio waliocheza na kupata ushindi...
Taarifa hii iwafikie wachezaji wote waliocheza mechi ile, kwamba muda wowote wenye timu yao akina Aziz Ki, Morrison na Feisal wanakuja kwenye kikosi cha kwanza
 
Jamani msemaji wa timu sio MC kuwa unaweza kusema chochote. Ally Kamwe alisikika akisema wachezaji wa akiba wa timu ya Yanga ndio waliocheza na kupata ushindi dhidi ya TP Mazembe kule DR Congo baada ya kukosekana Aziz, Morrison, Diara, Aucho na DJuma kwenye kikosi.

Ni kweli waliocheza ni wachezaji wa akiba? Kusema hivyo ni sawa kwa Yanga, wachezaji na mashabiki wa Yanga? Hayo ni mawazo yake au hata Benchi la Ufundi na Uongozi unaona hivyo?
Ni uthibitisho kuwa huko Yanga wote ni mazezeta

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Taarifa hii iwafikie wachezaji wote waliocheza mechi ile, kwamba muda wowote wenye timu yao akina Aziz Ki, Morrison na Feisal wanakuja kwenye kikosi cha kwanza
Ulimi umeteleza, aseme TU samahani
 
Huyo njiti alishapoteza akili baada tu ya kuwa utopolo max
 
Back
Top Bottom