Ally Bananga akamatwa na polisi kwa agizo la CCM

Unatia Huruma Aisee,kama Mbowe fisadi na kuna magaidi cdm,tunaposema hii serikali ni dhaifu kwa nini hamtuelewi? Au unataka kutuaminisha kuwa mbowe ni zaidi ya hii serikali dhaifu ya chama chakavu hadi ishindwe kumkamata na kumchukulia hatua za kisheria? SERIKALI INAYOSHINDWA KUMUWAJIBISHA MBOWE,BEN NA LWAKATARE ITAWEZA VITA YA UJANGILI NA MADAWA YA KULEVYA KWELI? TUNAPOSEMA HII SERIKALI NI DHAIFU MTUELEWE,TUIPUMZISHE KWANI IMECHAKAA IPO TAABANI
unavyosema hivyo ina maana nchi wachukue CHAGGADEMA au? Kiukweli bado hamjakomaa kabisa kupewa nchi nyie uwaziri vivuli ndio size yenu
 
Hata mwehu hawezi andika pumba kama hizi. Kiumbe gani wewe huna hata chembe ya aibu? Kama huwezi kujibu kwa hoja, kaa kimya. Mwehu!.

Teh teh teh tatizo lenu nyie CHAGGADEMA akitajwa basha wenu Dj tu basi mna kuwa wakali sana wakati ndio ukweli huo.
 
unavyosema hivyo ina maana nchi wachukue CHAGGADEMA au? Kiukweli bado hamjakomaa kabisa kupewa nchi nyie uwaziri vivuli ndio size yenu

Umeandika mwenyewe au unakuwa unaandikiwa? Unayo dini? Upstairs kwako kuna mgogoro? Unao wazazi? Tz unatokea mkoa upi? Nakabila lakoje? Kama hivo havina mgogoro, tatizo ni ushabiki au uanachama ulio nao? Ulikuwa chipukizi wa ccm utotoni au u green guard? Una mzazi shabiki, chizi au mtendaji wa ccm? Sema usikike. Mchumba au mpenzi aliye kukataa alikuwa au amechukuliwa na watu wa cdm? Mbona yako ni chuki isiyo halisia? Ni kutetea hiyo zawadi ya simu uliyopewa tu? Tutafika kwa sampuli za watu kama wewe? Ulegee!
 
habari ya Mjini naona vijana wa Nape mnapokezana!!
MaCCM wanaelekea ukingoni, la kuvunda halina ubani, ndo kwa heri hivyo mnaondoka!!
 
Last edited by a moderator:
Kuna majambazi kuliko group la MaCCM walibeba fedha za ACCT ya TANESCO (ESCROW)
Tena kwa viroba mchana kweupe Billion 200, hadi Werema anamtishia Kafulira MBG asiseme Ukweli bungeni!!
Mmepiga kimya, safari hii lazima tuwang'oe hatuwaachi wezi wakubwa nyinyi!!
 
UPDATE:

Kamanda Ally Bananga na mwenzake Daudi Kilo kama nilivyowaarifa jana kuwa wametolewa Same na kupelekwa Korogwe walikofunguliwa mashtaka, jana usiku walililipishwa kosa la barabarani, wameachiwa usiku saa nne.

Shukrani nyingi pia zimwendee kamanda Nanyaro Ephata aliyekwenda Korogwe kuwasaidia makamanda na kuhakikisha kesi haibadilishwi kihuni kihuni.

Mapambano ya kukomboa nchi yanaendelea, wao wana shetani, sisi tuna Mungu
 
ninao uwezo wa kuwalipa mshahara mbowe na slaa mpaka watakapoachia madaraka wanayoyang'ang'ania kwa mabavu

Kwa hizi buku 7 unazolipwa na nape kwa kushinda jf huwezi kumlipa hata house girl wangu tu. Toka mafichoni tukuumbue ficmaji wewe!
 
Teh teh teh tatizo lenu nyie CHAGGADEMA akitajwa basha wenu Dj tu basi mna kuwa wakali sana wakati ndio ukweli huo.

Huu ubaguzi wenu mnaohubiri ulishabuma,niko rock city na huku cdm ndo mpango mzima.wasukuma wa sasa tumeikubali cdm,subirini kimbunga 2015 tu
 
Wakuu,

Siku zote tunatambua kwamba tunaongozwa kwa sheria na kanuni katika maeneo yote yanayohusu maisha ya kila siku

Zipo sheria ambazo zimewekwa mfano sheria za barabarani (traffic regulation act) za nchi yetu, ambayo kimsingi ikithibitika zimevunjwa moja kwa moja anayeingia hatiani ni mtumiaji wa chombo yaani Dereva, na wala siyo abiria.

Kwa wasiojua leo kulikuwa na msafara wa mbio za mwenge Korogwe, kamanda Ally Bananga naye alikuwa Korogwe, wakati anatoka Korogwe na gari lake lililokuwa linaendeshwa na Dereva Daudi Kilo, walikutana na msafara wa Mwenge wakaupisha mpaka ukaisha, wakaendelea na safari yao kama kawaida baada ya kuruhusiwa na traffic.

Chakushangaza magari mawili ya ccm yakawa yanawakimbiza kwa nyuma, hawakujua sababu ya wao kuwakimbiza, na kwakuwa waliwaona wao walichokifanya ni kuongeza kasi, maana walijua kuwa kwakuwa gari lao lina mabendera ya chadema itakuwa imewaumiza roho ccm wanaosumbuliwa na homa kali ya UKAWA, wakajua wanataka kuwadhuru kwa tindikali au ugaidi wa aina yoyote ile.

Baada ya magari ya ccm kushindwa kuwakamata akina Ally Bananga, ccm wakaaamua kupiga simu polisi wawakamate Bananga na Dereva wake kwa kuingilia msafara wa Mwenge. Kilichotokea ni kwamba gari la Bananga lilizuiwa na polisi Hedaru, wakafunguliwa kesi ya kuingilia msafara wa Mwenge. Wakati wanaendelea kushangaa kilichotokea, ghafla maccm yakaingizana Hedaru,vwakawaamrisha polisi kuwaweka ndani Bananga na Dereva wake Daudi Kilo kwa kosa la barabarani (traffic offense), na wamenyimwa dhamana. Hivi ninavyoandika hapa, kinacholeta utata zaidi ni kwamba kuna mawasiliano yanafanyika ya kipolisi wakishirikiana na ccm kuwapeleka Bananga na Kilo Same badala ya kuwapeleka Korogwe ambapo wanapodai ndiyo kosa limefanyika.

Tukio la kukamatwa Bananga limethibitishwa na kamanda wa polisi kilimanjaro Robert Boaz

Tunajiuliza: hata kama kungelikuwa na kosa, Bananga anaingiaje wakati yeye alikuwa haendeshi?

Tunajiuliza: Kama kosa lilufanyika Korogwe kwanini wanapelekwa Same kulikoni?

CCM watambue tunawafahamu kuanzia kuchani mpaka unywele, hatutarudi nyuma hata muwatumie dola kwa hila ya namna gani, mapambano yataendelea mpaka kieleweke.

Tunajua hivi sasa maccm yanahaha na kuihofu chadema kuliko hata homa ya ebola, kwakuwa tu chadema imekubalika na watanzania nchi nzima.

UPDATE:

Kama nilivyosema jana, Bananga na mwenzake kushtakiwa kwa kosa la barabarani Korogwe, na kukamatiwa Hedaru, baadaye wakapelekwa Same. Hivi sasa taratibu zimefanyika ya kuwatoa Same kwenda Korogwe ambapo ndipo wamefunguliwa mashtaka. Kwa mara ya kwanza tunaona Dereva na abiria wakishtakiwa kwa kosa la barabarani (traffic offense), japo kosa lenyewe ni la kubambikiwa.

Pia nimetonywa kuwa ccm wanafanya kila jitihada kuigeuza kesi ya Bananga na Daudi kilo ibadilishwe kutoka traffic offense na kuwa criminal....

Hii nchi ccm imewashinda, wamebaki kutengeneza movie tu...

Tutaendelea kuwajuza kila kitakachojiri......

UPDATE:

Kamanda Ally Bananga na mwenzake Daudi Kilo kama nilivyowaarifa jana kuwa wametolewa Same na kupelekwa Korogwe walikofunguliwa mashtaka, jana usiku walililipishwa kosa la barabarani, wameachiwa usiku saa nne.

Shukrani nyingi pia zimwendee kamanda Nanyaro Ephata aliyekwenda Korogwe kuwasaidia makamanda na kuhakikisha kesi haibadilishwi kihuni kihuni.

Mapambano ya kukomboa nchi yanaendelea, wao wana shetani, sisi tuna Mungu

Ni sawa kabisa maana Cdm ni yamezidi ugaidi
 
Umeandika mwenyewe au unakuwa unaandikiwa? Unayo dini? Upstairs kwako kuna mgogoro? Unao wazazi? Tz unatokea mkoa upi? Nakabila lakoje? Kama hivo havina mgogoro, tatizo ni ushabiki au uanachama ulio nao? Ulikuwa chipukizi wa ccm utotoni au u green guard? Una mzazi shabiki, chizi au mtendaji wa ccm? Sema usikike. Mchumba au mpenzi aliye kukataa alikuwa au amechukuliwa na watu wa cdm? Mbona yako ni chuki isiyo halisia? Ni kutetea hiyo zawadi ya simu uliyopewa tu? Tutafika kwa sampuli za watu kama wewe? Ulegee!

Teh teh teh hayo maswali yako hayaendanj na tunachoongelea!
 
Huu ubaguzi wenu mnaohubiri ulishabuma,niko rock city na huku cdm ndo mpango mzima.wasukuma wa sasa tumeikubali cdm,subirini kimbunga 2015 tu

Teh teh teh kama kimbunga cha 2010 Mlishindwa mtaweza sasa hivi hakuna hata mgombea 1 anayekubalika kuanzia Dj wala Padri mzinzi. Hata mkiungana na hiyo ndoa yenu ya UKAWA
 
Back
Top Bottom