Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,328
- 23,879
Natongozwa
Si unikubalie yaishe??!
Natongozwa
where plz??
Si unikubalie yaishe??!
dondoka basi
niko naanda fruit salad, afu hili tunda sina.
hahahaa umeua
Sounds like StrawBerry..
Utaipenda salad yake???
Si unajua matunda ya msimu..sio kama embe ng'ongo!
inafaa sana kwa kupambia salad mwishoni.
Mmmh, itakuwa 'so yummy'