Pundit
JF-Expert Member
- Feb 4, 2007
- 3,733
- 123
Please.....Pinda try to be serious kidogo....yaani unataka kutuambia ndio unalijua hilo sasa hivi!!
Ogah,
Machiavelli alikwambia katika "The Prince" kwamba the prince will always find ways to shift blame to others, and take others' credit.
Kwa hiyo kikitokea kitu kibaya serikalini sishangai kuwasikia hawa mabwege wanatupiana lawama, hapo hapo kikitokea kizuri basi watajifanya wao ndio masterminds.