Aliyewahi kuwa Waziri (Arcado Ntagazwa) kizimbani kwa utapeli

Na pia DPP Feleshi (mtu wa mamvi na kawekwa na mamvi) mpuuzi sana kwa kuchukua civil case baina ya NGO na kampuni na kuifanya criminal kwa dhana potofu na ya ulafi wa kupewa hela, yeye na ma polisi wa kanda kina Msangi wa pale Sentro.

DPP badala ya kuhangaika na kesi za mafisadi wanaotafuna nchi kutwa anahangaika na hiki ki-case mbuzi....haingii akilini. Ila mwisho wa haya yote uko mbioni.
 
Huyu mzee nilifikiri ni miongoni mwa watanzania wachache waadillifu. Aliwahi kukoswakoswa risasi akiwa mkuu wa ACS kanda ya kaskazini miaka ya uwaziri mkuu wa Kawawa (Baada ya hapo akatofautiana sana na Kawawa). Sijui amekuja kujihusisha vipi na tapelli Miselya.

Hahahaha,

Mazee unampata Julius "Senator" Miselya na vituko vyake kumbe?

Hata mie nilivyoangalia hapo nikaona Mzee Ntagazwa na Miselya mbona tofauti, "strange bedfellows" wanaita waingereza.
 
Kimahesabu sio ghali sana. Kumbuka zilikuwa 10,000 pieces. Ni wastani wa Shs. 5,000 kwa kila T-Shirt na 2,400 kwa kila Cap. (Bei ya jumla shs 7,400 kila kimoja).

Mbona kule juu wamesema t-shirt 5,000 na kofia 5,000? Au macho yangu?
 
Back
Top Bottom