Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Gabriel Kimolo ahamia CHADEMA

Kila mwenye kuona mbali lazima ahame sisiem na kujiunga na chama makini CHADEMA !
 
Hii ni cheap popularity at work. Kitu lilifukuzwa kazi kutokana na uzembe Leo mnaliita kamanda, poor you machadema

Acha kupotosha umma wewe kima,,,, huyu alijiudhuru kwa hiari yake mwenyewe aliona hakuna haja ya kukaa kwenye chama cha wahuni na wabakaji.
 
ya akaribie ila ajue cdm hatulali mpaka kieleweke,maana kasi tuliyonayo kwa sasa hata zzk tushamwscha.
 
Katika hali ya kuonyesha CCM hapako shwari leo mkuu wa Wilaya Gabriel Kimolo amevua gamba na kuvaa Gwanda hii leo ni kwenye Kongamano linaloendelea muda huu katika hotel ya Land mark ambapo wangeni rasmi ni Tundu Lisu, Mnyika, Lema, Msigwa, Heche na Kilewo.

Akiongea na watanzania waliojana kwenye kongamano hilo Kimolo amesema CCM inakufa na kuna kila ishara za CCM kufa mfano kuuwa waandishi wa habari, kutesa wana harakati, kutumia nguvu nyingi kuzoofisha upinza hasa CHADEMA pia amewaomba watanzania kujiunga na chadema kwani kwasasa ni tumaini la watanzania na kuna kila ishara kuwa inaenda kuongoza nchi...


Nawasilisha

============
Gabriel Kimolo, alijiuzulu mwezi Mei 2012 (Ref https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/262111-mkuu-wa-wilaya-ya-mbozi-atangaza-kujiuzulu.html ) kufuatia madai kuwa alikuwa akikejeliwa na wafanyabiashara wakimwita Mbwa!
===============

==================
karibu kwenye jeshi la ukobozi mr kimolo
 
Karibu kamanda,kwenye njia ya mabiliko

there is no easy walk to freedom room

vumilia kila hujuma za ccm
 
Acha kupotosha umma wewe kima,,,, huyu alijiudhuru kwa hiari yake mwenyewe aliona hakuna haja ya kukaa kwenye chama cha wahuni na wabakaji.

Kweli kabisa CCM imejaa wabakaji, mafisadi, wangoa kucha na meno, wauwaji, wauza madawa ya kulevya...
 
Acha kupotosha umma wewe kima '',,,huyu wala hakutemwa bali alijiudhuru kwa hiyari yake mwenyewe baada ya kuona hakuna haja ya kubaki kwenye chama cha wabakaji na kuwatumikia wauza unga na majangili wa tembo.
hata aibu huoni hivi unafikiri BABU asingetemwa kwenye kinyang'anyiro cha kugombea ubunge ndani ya CCM angehama?? thank big kijana usifikiri unaongea na watu wepesi hapa tuna full info za nchi hii huyo aliondoka baada ya kuona hayumo kwenye orodha mpya leo CHADEMA mnamuona mfalme wenu lol
 
Namfahamu vizuri huyu mzee toka akiwa DC wa wilaya ya Namtumbo nimekuwa naye kwenye vikao akiwa kaimu mkuu wa mkoa wa ruvuma mzee yupo vizuri sana........kichwa kingine hiki......karibu sana
 
psyuuuuuuuuuuuu huyo sio mkuu wa wilaya usitsfute kick hapa alishamwagwa kwa sababu za uzembe kaona maisha magumu kakimbilia huko uchagani hivi mkuu wa wilaya kwa akili za kawaida anaweza acha mkate wake na kuja kurubuniwa na malaghai kama akina lisu na mnyika?? acheni porojo na ndoto za alinacha bavicha ccm imemwaga kwenye udc kimolo siku nyiingi kwa uzembe wake hana jipya wala impact kwa CCM mmefulia wanakaskazini wa kichaga tafuteni lingine


soma kichwa cha habari kwanza.

Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Gabriel Kimolo ahamia CHADEMA
 
Aidha, inaelezwa kuwa Bw. Kimolo amekuwa ni mtu wa karibu sana na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa na kwamba kitendo chake cha kujiuzulu kina baraka kutoka kwa kiongozi huyo mstaafu ambapo katika ziara yake aliyoifanya hivi karibuni wilayani Momba katika mji mdogo wa Tunduma, aliteta naye jambo muhimu

huyu ni mamluki tu kama mamluki wengine kumbe ni mfuasi wa Lowasa halafu anazuga kuhamia chadema.!!
 
hii nayo kali, alikuwa bado anafanya kazi kama mkuu wa wilaya?

Kulikuwa na tetesi kwmba ilikuwa aachie ukuu wa wilaya siku hiyo hiyo ajiunge na cdm wakamshauri ninyi ccm mtamdhuru ndio maana alijiudhuru akasubiri mwaka amejiunga rasmi leo...na kama unadhani ni mchumia tumbo umekwama maana aliacha kibarua yeye mwenyewe
 
Mtei naskia ana laana ya nyerere

Kwa mujibu wa mabango ya kigoma ya jana yanayopinga ziara ya slaa

hi hater,naona nimekupa makavu mpaka mpaka umepunguza udini humu jf,umebaki nao moyoni,bado ukabila..slaa ni mkombozi hadi huko mtwara,nyinyi wanaccm subirini kuwa wapinzani tu.
 
mpaka kuandika umeshindwa sizitaki mbichi hizi angetemwa ukuu wa wilaya?? amekuja kukidhi njaa tu huyo

Mkuu njaa kwani kapewa ceo gani? Sisi CDM tunajitolea mafanikio yako mbele na uyu ukuu wa mkoa unamgonja mwaka 2016.
 
ha ha ha ha nasikia babu akicheleweshewa pay anafoka na kuropoka matusi mazito kabisaha ha ha ha .............kijana usifikiri nje ya boksi msingi wa binadamu ni kula vyote tufanyavyo duniani ni harakati za tumbo ndo mana babu yako ikifika kwenye suala la posho anakuwa mkali mno usichezee pesa wewe

Ndo maana CCM mnashindwa kuwachukulia hatua mafisadi na wafuja pesa za umma eeh!?
 
Back
Top Bottom