Aliyetaka kumung'oa Wassira katika kura za maoni CCM ahamia CHADEMA

Jeremiah Maganja nae ni mali kwa Chadema ? AMA kweli Chadema ni kiwanda cha makapi. Mona hamukumuulia Kati ya kura 23000 za maoni alipata ngapi? Kisha mjiulize ni kweli alimsumbua Wasira au alikuwa anamsindikiza?
 
Kuna siku Wassira alikimbizwa sana na wananchi pale Bunda sijui kama amesharudi tena??

Yule jamaa ana mbio sana msimuone vile kama zezeta!!
 
CHADEMA wanawakaribisha kama wanachama tu. Mambo mengine wakitufaa tunawatuma!

By the way, sasa hivi ccm wamebakiwa na wanachama wangapi? Maana ule mtaji wa milioni tano ushakatika sasa!

Mkuu, hiyo ni siri kubwa, ukigusa huko utaitwa mhaini! Si unajua hiyo ndiyo salaam ya polisi siku hizi?
 
Hapo hamna cha utetezi, ndio hali halisi. Kama unaona competitor wako yupo strong na huwezi kumdefeat wala kumjoin, then the best option ni kukimbilia kwenye weak side!!

Vua hilo gamba la kijani (green mamba, mhh!!) vaa gwanda! Karibu compitetor wenu anakuwa CUF maana nyote mnadidimia pamoja.
 
Losers ndani ya CCM ni lulu CDM!
:bounce::bounce::bounce::bounce::bounce::bounce::bounce:
Mkuu hayo yote ni maneno ya mkoswaji na janja ya sungura ya "sizitaki mbichi hizo" baada ya kuona hana jinsi ya kuzifikia.
 
....haba na haba hujaza kibaba. Athari za kuondokewa na wanachama hawawezi kuziona sasa hadi hapo utakapofika wakatti wa kampeni, kila mmoja wtakayemuuliza wataambiwa kahamia CHADEMA ndipo itakuwa ..kilio na kusaga meno!!!!
 
Kuna siku Wassira alikimbizwa sana na wananchi pale Bunda sijui kama amesharudi tena??

Yule jamaa ana mbio sana msimuone vile kama zezeta!!

anateleza yule huwezi kuamini. anakimbia si kidogo.
 
Drganet, itavua na kuokota kila kitu baharini. Baada ya kuvua tutakaa pwani na kuchambua kati ya samaki na takataka. So wait till sieving time (bar exceptions).
 
Yani amepokelewa Chadema kwa mbwembwe kisa tu anataka kumng'oa Wassira?

Kazi ipo!
 
Bw Jeremia Maganja alichuana vikali na Mzee Wassira katika uchaguzi wa 2010 Amevuagamba na kuvaa gwanda tarehe 5/5/2012 mjini bunda.

Ilikua ni katika kikao cha ndani cha BAVICHA pale alipoomba kuingie ndipo katibu wakikao hicho bw Frank Kubwera alipomuomba awape sababu zakuingia ktk kikakao cha CHADEMA ikiwa yeye ni GAMBA.

Ndipo Maganja aliposema yuko hapo kuomba uanachama wa CHADEMA. WAJUMBE wakaafiki apewe uanachama akapewa kadi ya CDM na kadi yake ya CCM itachomwa moto hadharani katika mkutano wa hadhara hivi karibuni.

Duh kwa hiyo 2015 Wassira atakuwa hana jimbo
 
Majeraha ya kushindwa kwenye uchaguzi yatapeleka mamluki wa kutosha CDM.

Ama kweli wewe ni MAMA POROJO,inamaana hata hao maelfu ya wananchi wanaohamia CHADEMA,na madiwani waliochaguliwa kwa tiketi ya CCM na wameamua kuvua MAGAMBA nao wamejeruhiwa? Wewe piga tu POROJO kama jina lako,lakini CCM ndo inahangamia hivyo.
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana mgeni karibu pita mpaka seblen vua gamba uvae gwanda sijui unakunjwa kinjwaji gani mgeni
 
Majeraha ya kushindwa kwenye uchaguzi yatapeleka mamluki wa kutosha CDM.
Acha magugu yakuwe pamoja na ngano! Lengo ni kupata ushindi 2015. Baada ya hapo magugu yatachambuliwa na kutupwa motoni, na ngano itatiwa ghalani!

 
Back
Top Bottom