Kosa likowapi kusema viva chadema, we ulitaka amaliziaje? ukosoaji mwingine hauna tija unakuwa kama utoto tuu
Katika kikao kimojawapo cha bunge mwaka jana ilisikika kauli hii' FUNGENI MILANGO TUZICHAPE' radio magic ktk blabla zao asbuhi wakawaaminisha wasikilizaji kuwa ni Kamanda LEMA, sikufurahi mi kama muumini wa siasa zake, ieleweke kuwa aliyekuwa anafuatilia bunge live aliona na kusikia nikiwemo mimi.
SIMCHUKII Mh David Kafulila ila nathibitisha kwa mujibu wa hansard kuwa aliyetoa ile kauli ni mbunge wa kigoma kusini DAVID KAFULILA. Niwaonye magic fm kuwa siasa za lema isipelekee ahusishwe na vitendo ambavyo si vya 'kawaida' kisiasa.
VIVA CHADEMA

Tuache porojo na utoto kwenye hii blog - unapotoa mada come up with evidences to support it. Otherwise ni kupoteza muda!