Kawaumbuaje?Msando kaingia na kuwaumbua..... sidhani uccm wanamwangalia vizuri.
Msando kaingia na kuwaumbua..... sidhani uccm wanamwangalia vizuri.
Huyu aliyehusika kupika data za wanachama halisi wa uvccm anapaswa kuadhibiwa chino ya sheria na kanuni za chama. Anapaswa kuhojiwa na chama aeleze alikuwa ana nia gani kufanya hivo.
Nawasilisha
Kweli tupuHalafu nadhani Msando na wenzake wa upinzani hawajaambiwa sio kila kitu kinachosemwa jukwaani ukweli. Wakati Msando anasema hivyo kama uliangalia vizuri alizua taharuki kuanzia meza kuu mpaka wajumbe wote. Kwa ujumla kile alichosema hakikuwafurahisha, wengi wameona analeta mambo ya upinzani kuongea kila kitu hadharani. Akumbuke juzi Polepole alikuwa anaongea kwa madaha kwamba ccm sasa hivi ina wanachama 12,000,000 nchi nzima. Sasa kwa haraka haraka hiyo idadi aliyosema ya milioni 6 kwamba sio kweli toa kwenye ile 12m utaona zaidi ya nusu haipo. Hapo ni jumuiya moja imepika idadi kubwa hivyo. Kiuhalisia ccm sidhani kama ina wanachama hai zaidi ya milioni 3 nchi nzima.
Machali naye alitoa angalizo kwamba vijana wa ccm wajue siasa sasa hivi imehamia kwenye mitandao ya kijamii lakini hawaoni vijana wa ccm wakijibu hoja. Sasa tujiandae kuwaona vijana wa ccm wakiingia humu jukwaani kama nyuki. Si vibaya wakija lakini watakuja na hoja hapo ndio ngoma. Kuanzia kesho j3 na kuendelea tutegemee kuona id mpya nyingi zikishusha mashambulizi na nyingine za zamani zikianza kazi tena.. Ni kwa muda gani watajibu hoja ni muda utaamua. Na vile mwenyekiti wa ccm kasema wasiogope kujibu hoja za wapinzani tunatarajia kuona mikutano ya siasa ikiruhusiwa ili tuone ushindani wa siasa.
Nani kasema vijana wa ccm hawapo kwenye mitandao?? Tunao humu siku zote ila hawawez jibu hoja za wapinzani.Halafu nadhani Msando na wenzake wa upinzani hawajaambiwa sio kila kitu kinachosemwa jukwaani ukweli. Wakati Msando anasema hivyo kama uliangalia vizuri alizua taharuki kuanzia meza kuu mpaka wajumbe wote. Kwa ujumla kile alichosema hakikuwafurahisha, wengi wameona analeta mambo ya upinzani kuongea kila kitu hadharani. Akumbuke juzi Polepole alikuwa anaongea kwa madaha kwamba ccm sasa hivi ina wanachama 12,000,000 nchi nzima. Sasa kwa haraka haraka hiyo idadi aliyosema ya milioni 6 kwamba sio kweli toa kwenye ile 12m utaona zaidi ya nusu haipo. Hapo ni jumuiya moja imepika idadi kubwa hivyo. Kiuhalisia ccm sidhani kama ina wanachama hai zaidi ya milioni 3 nchi nzima.