mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 10,545
- 19,949
Shehe aliyefungisha ndoa kwann amefanya hivyo kwa kujuwa binti yupo under 15?'Shehe'????
Hapo ikitakiwa wakamatwe wazazi wa binti,
Wazazi wa bwana harusi ,mshenga na shehe wao..
Shehe aliyefungisha ndoa kwann amefanya hivyo kwa kujuwa binti yupo under 15?'Shehe'????
Ni kweli ni kosa kisheria kuoa/kumuozesha mtoto wa miaka 14,Ulikuwa hujui kuoa mtoto ni kosa kisheria? Wewe unachukuliaje mtoto wa miaka 14 kuolewa?
Aliyekuwa anamwingilia kimwili huyo binti ni nani katika hilo kundi?Ni kweli ni kosa kisheria kuoa/kumuozesha mtoto wa miaka 14,
Lakini huyo bibi harusi hakujioza yeye mwenyewe kuna watu waliohusika kufanikisha hiyo ndoa mbona hawakukamatwa?
Iweje bwana harusi akamatwe afungwe peke yake? wakati kuna watu zaidi ya 7 ambao wamehusika moja kwa moja kufanikisha zoezi zima la ndoa?
A--mshenga amepeleka posa kwa wazazi wa binti ambaye ni under 15 ambapo ni kosa kisheria.
B--wazazi wa binti wamekubali posa na kumuoza binti yao akiwa under 15 ambapo ni kosa kisheria.
C--shehe aliyekubali kuozesha binti Under 15 akijuwa ni kosa kisheria kuozesha binti under 15.
-bwana harusi alyeoa na kuishi na binti under 15 ambapo ni kosa kisheria kuoa binti under 15.
Huoni kama kesi imewaacha watuhumiwa wengine uraiani na kumkamata bwana harusi peke yake?
Ndy nikasema huu ni upuuzi mwingiine wa police na mahakama.
Kosa ni kubaka under 18. Angeweza kusema abakie kwao hadi atakapo timiza miaka 18.Ni kweli ni kosa kisheria kuoa/kumuozesha mtoto wa miaka 14,
Lakini huyo bibi harusi hakujioza yeye mwenyewe kuna watu waliohusika kufanikisha hiyo ndoa mbona hawakukamatwa?
Iweje bwana harusi akamatwe afungwe peke yake? wakati kuna watu zaidi ya 7 ambao wamehusika moja kwa moja kufanikisha zoezi zima la ndoa?
A--mshenga amepeleka posa kwa wazazi wa binti ambaye ni under 15 ambapo ni kosa kisheria.
B--wazazi wa binti wamekubali posa na kumuoza binti yao akiwa under 15 ambapo ni kosa kisheria.
C--shehe aliyekubali kuozesha binti Under 15 akijuwa ni kosa kisheria kuozesha binti under 15.
-bwana harusi alyeoa na kuishi na binti under 15 ambapo ni kosa kisheria kuoa binti under 15.
Huoni kama kesi imewaacha watuhumiwa wengine uraiani na kumkamata bwana harusi peke yake?
Ndy nikasema huu ni upuuzi mwingiine wa police na mahakama.
Sasa Given Michael n Shekh wapi na wapi? Punguza prejudiceHuu nao ni upuuzi mwingiine wa police na mahakama, zetu.
Unamfunga mwanaume aliyeoa binti wa miaka 14,
Lakini wazazi wa binti na shehe aliyeozesha hiyo ndoa wapo uraiani.
Kabisa wote hao ilitakiwa kuchukuliwa hatua for ‘abetting’ the crime hasa wazazi wa huyo binti.Ni kweli ni kosa kisheria kuoa/kumuozesha mtoto wa miaka 14,
Lakini huyo bibi harusi hakujioza yeye mwenyewe kuna watu waliohusika kufanikisha hiyo ndoa mbona hawakukamatwa?
Iweje bwana harusi akamatwe afungwe peke yake? wakati kuna watu zaidi ya 7 ambao wamehusika moja kwa moja kufanikisha zoezi zima la ndoa?
A--mshenga amepeleka posa kwa wazazi wa binti ambaye ni under 15 ambapo ni kosa kisheria.
B--wazazi wa binti wamekubali posa na kumuoza binti yao akiwa under 15 ambapo ni kosa kisheria.
C--shehe aliyekubali kuozesha binti Under 15 akijuwa ni kosa kisheria kuozesha binti under 15.
-bwana harusi alyeoa na kuishi na binti under 15 ambapo ni kosa kisheria kuoa binti under 15.
Huoni kama kesi imewaacha watuhumiwa wengine uraiani na kumkamata bwana harusi peke yake?
Ndy nikasema huu ni upuuzi mwingiine wa police na mahakama.
Hukumu haipo sawa sababu kesi ya shambulio la aibu haina kifungo cha maisha wala kifungo kirefu.Kabisa wote hao ilitakiwa kuchukuliwa hatua for ‘abetting’ the crime hasa wazazi wa huyo binti.
Iła pongezi kwa hukumu ni kwa mtindo wa hukumu kali kama hizi ndio watu wataelewa somo.
Shehe ndy kwani Michael hawezi kuoa binti wa kiislam?'Shehe'????
Hukumu zingine ni kutuma salamu tu kwa jamii (kama mfano kwa wengine) wasijaribu hayo mambo.Hukumu haipo sawa sababu kesi ya shambulio la aibu haina kifungo cha maisha wala kifungo kirefu.
Kwani Michael hawezi kuoa binti wa kiislam?Sasa Given Michael n Shekh wapi na wapi? Punguza prejudice
Ni sawa kosa la ubakaji lakini alishirikiana na mshenga kupeleka posa,Kosa ni kubaka under 18. Angeweza kusema abakie kwao hadi atakapo timiza miaka 18.
Hapa kosa ni la Ubakaji.
Siju labda alikuwa anafuata matendo mema ya Kiongozi wake Mkuu wa Imani.
Kwahyo mtu akiuawa na watu fulani,,Aliyekuwa anamwingilia kimwili huyo binti ni nani katika hilo kundi?
Kama umeona kuna uonevu kata rufaa. Acha kunililia hapa.. mimi sio babako.Kwahyo mtu akiuawa na watu fulani,,
police wanamkamata aliyempiga kisu au aliyemfunga kamba marehemu?
Au wote wawili wanahusika kuua?
Naheshimu hiyo avatar yako vinginevyo ungeukalia bila mateKama umeona kuna uonevu kata rufaa. Acha kunililia hapa.. mimi sio babako.
Kawatishe wangese wenzakoNaheshimu hiyo avatar yako vinginevyo ungeukalia bila mate
Hakuna sheikh atadungisha ndoa ya muslim girl na Christian man. Acha kuobgozwa na hisiaKwani Michael hawezi kuoa binti wa kiislam?
Au unajuwa huyo binti aliyeolewa ni dini gn?
Lengo ni kuelezea kwamba kama ameoa kwa shehe au kanisani basi wahusika waliofungisha ndoa wakamatwe...
Kwa mujibu wa sheria ya ndoa Tz,binti wa miaka 14 ana ruhusiwa kuolewa kwa ruhusa maalumu ya wazazi wake ila asiwe mwanafunzi.Ulikuwa hujui kuoa mtoto ni kosa kisheria? Wewe unachukuliaje mtoto wa miaka 14 kuolewa?
Given Michael anaozeshwaje na Shekhe?Huu nao ni upuuzi mwingiine wa police na mahakama, zetu.