barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,324
- 29,586
Ukiwa una familia na watoto wa nje alafu hujajipanga, ni balaa!!Du,jamani usiombe kabisa kutumbuliwa kukute,RIP Mkurungezi mtumbuliwa
Ukiwa una familia na watoto wa nje alafu hujajipanga, ni balaa!!Du,jamani usiombe kabisa kutumbuliwa kukute,RIP Mkurungezi mtumbuliwa
....imeisha !Kazi kweli kweli
Tangu mwanzo tulihoji Makonda kumchongea mtu ambaye toka December mwaka Jana yuko kitandani.....na alishaandika barua kustaafu Kwa ugonjwa ...na hakuweza kujibu tuhuma juu yake ....Ina maana tuhuma zilikuwa za upande mmoja...hata Kama ni kweli lakini rule of natural justice zinasema wazi alikuwa na Haki ya kusikilizwa.....
Namsubiri Magomeni Mwembechai huyu OKW BOBAN SUNZU akipita uchi barabarani, na tumshangilie!!!!OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member
#118
Apr 10, 2016
Joined:Aug 24, 2011
Messages:15,479
Likes Received:1,553
Trophy Points:113
Kama nilivyoweka angalizo kwa January na haikutokea,naweka pia kwa waziri Charles Kitwanga.Huyu ni msiri wa
Dr.Magufuli na ndiye
aliyeonekana katika video clip
moja akimshauri Dr Magufuli
"achukue fomu". Kweli
Dr.Magufuli "alichukua fomu" na sasa ni mkuu wa nchi.Nakwambia huyu haguswi,mtatumbuliwa nyie waajiriwa.Huyu akitumbuliwa mimi hapa natembea uchi Dar nzima.Tuliwaambia matatizo hayawezi kumalizwa na watu walioyasababisha
HAHAHAHAAHAHH MKUU ILA HUKUAINISHA KWENYE HII POST YAKO
Same- milima ya upare karibu na kwa kina Ombeni SefueHuyu Kabwe ni mwenyeji wa wapi?
we ukijiuliza hivyo mie najiuliza WATAMSAFISHAJE MAREHEMU ALIETUMBULIWASijui kesho magazetn itakuwaje
Kwa ukweli nakuaminia infoma....
.....Mkuu Msome INFOMA sikuzote
Mkuu mpinji ni wapi tena?Kabwe amefia hapa Dar es salaam ,ostabey baada ya kutoka India, anasafirishwa Jumanne kwenda mpinji kwa mazishi. Na kwa yeyete anayetaka kwenda kuna magari ya bure kwenda na kurudi.
Nayetaka kwenda ani PM
Same -milima ya upare .. Mamba myamba - mpinjiMkuu mpinji ni wapi tena?