Aliyekuwa KATIBU WA BAVICHA/chadema MKOA WA MWANZA AHAMIA NCCR

27 May 2013

CHADEMA wapata pigo Sengerema

Na Mwandi shi We tu, Sengerema

ALIYEKUWA Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( BAVI CHA) , mk o a n i Mwanza, Bw. Slavatory Magafu, amekihama chama hicho na kujiunga Chama cha NCCR-Mageuzi.
Bw. Magafu alijiunga na chama hicho juzi wakati wa kampeni za kumnadi mgombea udiwani katika Kata ya Nyampulukano, wilayani Sengerema, Bw. Dotto Nungwa.
Akizungumza baada ya kukabidhiwa kadi ya NCCR-Mageuzi,Bw. Magafu alisema ame b a i n i CHADEMA hakiwezi kuifikisha nchi katika mikono salama.“Mwaka 2010 niliwania ubunge wa jimbo hili kwa tiketi ya CHADEMA, hivi sasa nimejiunga rasmi NCCR-Mageuzi chama ambacho hakina udini, ukabila wala ukanda,” alisema.

Kwa upande wake, Bw. Nungwa aliahidi kuwasaidia wananchikwa kumaliza kero zao na kuhakikisha wanashiriki mikutano yakata na vijiji pamoja na kusomewa
mapato na matumizi.
“ N i t a h a k i k i s h a namfuatilia mbunge wa jimbo hili ili fedha za Mfuko wa Jimbo zinufaishe wananchi wa Kata ya Nyampurukano na kuwasaidia wananchi waliodhulumiwa viwanja vyao ili warudishiwe,” alisema.
Viongozi wengine ambao hivi karibuni wamejiunga na NCCR-Mageuzi ni Bw. Eddo Makata aliyekuwa Katibu wa CHADEMA, Mkoa wa Mbeya na Bw. Deogratius Kisandu aliyekuwa Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Tanga.
Kampeni hizo za udiwani zinaoongozwa na Katibu wa Habari na Uenezi Taifa, Kitengo cha Vijana wa NCCR-Mageuzi, Bw. Kisandu pamoja na Kamishna wa chama hicho Mkoa wa Mwanza, Bw. Ramadhan Amran
Na Said Hauni.

Hapo wala Chadema hawajapata pigo naomba mwandish nikuweke sawa. Kwa sisi tunaomfahamu Magafu toka tukiwa wote vijana wala hainisumbui, huyu jamaa aliwah kugombea ubunge Sengerema 2010 kupitia Chadema lkn akakubali kuhongwa na Ngereja ili fomu zake zisikubaliwe na tume ya uchaguz na ndivyo ilivyokuwa akaenguliwa alinikera sana huyu rafiki yangu Magafu,na bado hiv majuz akaingia mkenge kwa mtego wa akina Nape eti Dr.Slaa ajiuzuru kwa sabab ana kadi ya Ccm. Eti sasa anakihama chama,kama chadema itaendelea kuwaendekeza watu wenye tamaa na njaa kama Magafu nawambien wana Chadema mtapata majimbo machache sana 2015. Ni hayo.......kwangu mimi hakuna jipya toka kwa Magafu naemjua labda awe mwingine!
 
27 May 2013

CHADEMA wapata pigo Sengerema

Na Mwandi shi We tu, Sengerema

ALIYEKUWA Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( BAVI CHA) , mk o a n i Mwanza, Bw. Slavatory Magafu, amekihama chama hicho na kujiunga Chama cha NCCR-Mageuzi.
Bw. Magafu alijiunga na chama hicho juzi wakati wa kampeni za kumnadi mgombea udiwani katika Kata ya Nyampulukano, wilayani Sengerema, Bw. Dotto Nungwa.
Akizungumza baada ya kukabidhiwa kadi ya NCCR-Mageuzi,Bw. Magafu alisema ame b a i n i CHADEMA hakiwezi kuifikisha nchi katika mikono salama.“Mwaka 2010 niliwania ubunge wa jimbo hili kwa tiketi ya CHADEMA, hivi sasa nimejiunga rasmi NCCR-Mageuzi chama ambacho hakina udini, ukabila wala ukanda,” alisema.

Kwa upande wake, Bw. Nungwa aliahidi kuwasaidia wananchikwa kumaliza kero zao na kuhakikisha wanashiriki mikutano yakata na vijiji pamoja na kusomewa
mapato na matumizi.
“ N i t a h a k i k i s h a namfuatilia mbunge wa jimbo hili ili fedha za Mfuko wa Jimbo zinufaishe wananchi wa Kata ya Nyampurukano na kuwasaidia wananchi waliodhulumiwa viwanja vyao ili warudishiwe,” alisema.
Viongozi wengine ambao hivi karibuni wamejiunga na NCCR-Mageuzi ni Bw. Eddo Makata aliyekuwa Katibu wa CHADEMA, Mkoa wa Mbeya na Bw. Deogratius Kisandu aliyekuwa Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Tanga.
Kampeni hizo za udiwani zinaoongozwa na Katibu wa Habari na Uenezi Taifa, Kitengo cha Vijana wa NCCR-Mageuzi, Bw. Kisandu pamoja na Kamishna wa chama hicho Mkoa wa Mwanza, Bw. Ramadhan Amran
Na Said Hauni.
Bora hata umeondoka ameondoka kwa sababu wapiga kura wa Jimbo la Sengerema hawakuridhishwa na hatua yake ya kuhongwa na William Ngeleja pesa ya kutosha na kuamua kukosea kwa maksudi kujaza fomu ya mgombea na kuwekewa pingamizi. Pia tunajua umeamua kujitoa baada ya kusikia Mhe. Tabasamu katangaza nia ya kugombea Jimbo la Sengerema kupitia CDM hivyo ukajua huna nafasi tena kwa watu wa Sengerema. Huo ni mpango wa mungu na kutuepusha na viongozi viiyo wapenda pesa kuliko maslahi ya wananchi.
 
Huyu namjua vizuri nimesoma nae darasa moja pale UDSM ni garasa tu mchumia Tumbo...Poor Magafu.

Umeona eeeh! Magafu anatuaibisha sana hasa sis tulosoma nae bora angeacha tu siasa tatizo lake ni njaa na tamaa! Harafu kuna watu hapa wanachangia mambo kisiasa na kipropaganda kisa eti ametoka Chadema acheni hizo! Magafu sio mwanasiasa.
 
vijana wasaliti wanaofukuzwa wanajigeuzia kibao eti wamehamia chama fulani kumbe kuwa chadema ni ujiko na heshima kwa jamii sasa fujo za nini

angemuuliza kwanza mhe kafulila kabla hajahamia.mhe kafulila alifanya hivyo hivyo .yaliyompata baadaaye nadhani anajua.a kitaka kupata data za uhakika angefunga safari hadi dodoma kumwona mhe:lyatonga.nikisema mimi mtaniita mzushi.
 
wale ni wasema kweli, nyie ndio wasaliti...kauli zao hazijakanushwa hadi leo, kama mna ujasiri jitokezeni hadhani pingeni tuhuma zao kwenu
Magamba komaeni na mapovu yenu kwa kuishi kwa buku saba za meno ya tembo,kinana na nepi wapo njombe wameenda kusavey mzigo mwingine ili mnenepe kwa vipost uchwara vyenu humu jukwaani.....
 
na pembe za ndovu nazo zinapukutika,madini yanapukutika,mwangosi amepukutika ,elimu imepukutika. Ccm inanawiri

sio ccm yote inanawiri mkuu.wachache tu wananawiri.wengine wanatumika kama msukule!UNAWEZA KUNIAMBIA MABALOZI WA CCM WANANAWIRI VIPI?
 
na pembe za ndovu nazo zinapukutika,madini yanapukutika,mwangosi amepukutika ,elimu imepukutika. Ccm inanawiri

sio ccm yote inanawiri mkuu.wachache tu wananawiri.wengine wanatumika kama msukule!mabalozi wananawiri WA NYUMBA KUMI vipI?i.LET US SPEAK AND SHAME THE DEVIL.
 
Watakwisha na mtabakiwa na watu waliathirika kisaIkolojia, MAPADRE, WACHUNGAJI, WANAMUZIKI, MAJAMBAZI

Utupe nafasi basi na sie tuweke post zetu maana umeng'ang'ania kuweka upuuzi wako tu,hivi mnalipwa kila post mnayoiweka au malipo yenu ni siku hapo Lumumba?
 
na pembe za ndovu nazo zinapukutika,madini yanapukutika,mwangosi amepukutika ,elimu imepukutika. Ccm inanawiri

sio ccm yote inanawiri mkuu.wachache tu wananawiri.wengine wanatumika kama msukule!mabalozi wa nyumba 10 wananawiri vipi??
 
chadema inazidi kupukutika.
Kama kumbukumbu zangu zipo vizuri, ni kwamba huyu Magafu alifukuzwa uanachama wa CHADEMA tangu mwaka jana. Inachekesha kuona eti mwandishi wa habari anasema chadema imepata pigo. Imepata pigo kwa mwanachama ambaye ilishamtema siku nyingi? Hawa akina magafu ni Shonza na Mwampamba type. Hawana lolote.
 
Back
Top Bottom