Aliyefurushwa Tanzania kwa kutuhumiwa Mkenya, atunukiwa kitita cha hela na mahakama

Huyo Mkenya Kama ameshinda kesi sawa,
Atalipwa hela yake, but when ? Not guaranteed. He will probably die hopping that payment is coming tomorrow
emoji3.png
emoji3.png
emoji3.png

Hii ndio bongo.
Yule mzungu alishirikiana na mahakama corrupt kule Guateng SA anadai madeni ya wakati wa Nyerere, na ndege iliachiwa kwa maneno tupu pasi ya malipo ya shilingi 100.
Eti kwamba ni mkenya hata kama mahakama zilithibitisha(zote mbili ikiwemo mahakama kuu nchini Kenya) wazi kwamba yeye ni mtanzania? Kisa tu ana majina ya kijaluo? Tena jamaa amekuwa akiishi nchini kwake Tz, kisiri siri tangia serikali ya Kenya iamrishe kwamba arejeshwe Tz.

Raia ambaye hajielewi kama wewe ndio anaweza akashabikia serikali yake inapomdhulumu raia mwenzake wazi wazi. Kesho utasikia wanakamatwa mzazi au ndugu yako wa damu na kumtendea haya haya anayoyapitia Anudo. Ashakum si matusi ila nyie majirani ni maiti tu, kama alivyosema Mzee Kenyatta enzi zile za Mwalimu Nyerere na sera zake za ujamaa.
 
Hakuna awamu ya 5 wala 6 au 7
Mkenya hatapata nafasi Tz and we both know that.
Blame your greedy selfish leaders.

Hehehehe Naona nimekugusa penyewe unaniquote mara nyingi kwa mapovu, hata mama kasema jana mlimuachia jengo mbovu, ila atawanyoosha sana kwanza nyie mataga mnaoshindia buku saba za LUMUMBA.
 
Eti kwamba ni mkenya hata kama mahakama zilithibitisha(zote mbili ikiwemo mahakama kuu nchini Kenya) wazi kwamba yeye ni mtanzania? Kisa tu ana majina ya kijaluo? Tena jamaa amekuwa akiishi nchini kwake Tz, kisiri siri tangia serikali ya Kenya iamrishe kwamba arejeshwe Tz.

Raia ambaye hajielewi kama wewe ndio anaweza akashabikia serikali yake inapomdhulumu raia mwenzake wazi wazi. Kesho utasikia wanakamatwa mzazi au ndugu yako wa damu na kumtendea haya haya anayoyapitia Anudo. Ashakum si matusi ila nyie majirani ni maiti tu, kama alivyosema Mzee Kenyatta enzi zile za Mwalimu Nyerere na sera zake za ujamaa.

Kwanza huyo game over mtu wa Iringa, nafikiri Mngoni, wale waliofurushwa Afrika Kusini wakakimbilia Tanzania, yaani huwa wana chuki chuki sana hawa.
Makabila ya mipakani Tanzania huteseka sana, kwa mfano wale wa Kigoma huonwa kama Warundi. Kuna kipindi sijui ilikua mwaka gani raia wa Rwanda walifurushwa kutoka Tanzania, tatizo waliendesha operations kwa chuki chuki na mapovu mpaka wakaishia kufurusha hadi Watanzania wenzao.
 
Sasa mahakama ya Afrika imeamrisha alipwe fidia ya vyote hivyo na pia aruhusiwe arudi nyumbani ...Nilikua nashangaa kwanini Watanzania wanaotoka kwa kabila la Kijaluo hawapendi kutumia majina yao ya asili kama vile Otieno, Odhiambo n.k.
Mtu anakuambia yeye asil yake Mjaluo ila anaitwa Michael James
Watanzania tunajuana vizuri uwe mjaluo,mmasai,muha au muhangaza
Hayo ni makabila ya mipakani yana muingiliano na nchi jirani
Ukijipenyeza tulia fanya yako upate ugali,lakini ukiingia tu kwenye siasa au ugomvi na serikali hapo ndipo watu watakuchimba,na kama uraia wako una utata hutoboi
 
Kwanza huyo game over mtu wa Iringa, nafikiri Mngoni, wale waliofurushwa Afrika Kusini wakakimbilia Tanzania, yaani huwa wana chuki chuki sana hawa.
Makabila ya mipakani Tanzania huteseka sana, kwa mfano wale wa Kigoma huonwa kama Warundi. Kuna kipindi sijui ilikua mwaka gani raia wa Rwanda walifurushwa kutoka Tanzania, tatizo waliendesha operations kwa chuki chuki na mapovu mpaka wakaishia kufurusha hadi Watanzania wenzao.
Wangoni Iringa?
 
Ni Mwafrika ambaye yeye mwenyewe mzawa wa Tanzania, baba na mama yake wote wazawa wa Tanzania, ila kwa awamu hiyo ya tano mliendeshwa kwa chuki mpaka kufanyiana vitu vya ajabu na kubambikiana makesi.
We ni mpumbavu sana, awamu ya tano ilibaka mkeo nn, article inasema alitimuliwa 2014, awamu ya 5 imeanza 2015.
Hivi magufuli alikufanyaga nn jinga jinga ww
 
Mbona huyo alifukuzwa kwenye serikali ya awamu ya 4 mwaka 2014. Vipi una mimba ya serikali ya awamu ya tano mkuu?
Lijinga kweli hilo, linamwaza magufuli tu mpaka akili inashindwa kufikiri vizuri.
 
Watanzania tunajuana vizuri uwe mjaluo,mmasai,muha au muhangaza
Hayo ni makabila ya mipakani yana muingiliano na nchi jirani
Ukijipenyeza tulia fanya yako upate ugali,lakini ukiingia tu kwenye siasa au ugomvi na serikali hapo ndipo watu watakuchimba,na kama uraia wako una utata hutoboi

Umefufuka, sijakuona ukirandaranda kwenye taarifa za Kenya humu siku nyingi, kipi kilikua kimekusibu.....
 
Kwanza huyo game over mtu wa Iringa, nafikiri Mngoni, wale waliofurushwa Afrika Kusini wakakimbilia Tanzania, yaani huwa wana chuki chuki sana hawa.
Makabila ya mipakani Tanzania huteseka sana, kwa mfano wale wa Kigoma huonwa kama Warundi. Kuna kipindi sijui ilikua mwaka gani raia wa Rwanda walifurushwa kutoka Tanzania, tatizo waliendesha operations kwa chuki chuki na mapovu mpaka wakaishia kufurusha hadi Watanzania wenzao.

Wangoni na Iringa wapi na Wapi,
Wewe ni Miongoni mwa wakenya waliozamia Tanzania na wanaishi na kunufaika na kunufaisha koo zao huko Kenya in expense of Beautiful Tanzania.
Kama alivyosema mdau hapo juu, ukijipenyeza ukapata Channel tulia tengeneza riziki yako, ukianza chokochoko tukakuchimba uraia wako hutatoboa,
Hata kama una papers zipo clean ni maswali mawili tu tushakuchomoa. Watz ni recipe unique ambayo huwezi forge Wewe usiye raia.
Mpo wengi sana mwingine nlikuwa nakunywa nae bia mbeya weekend iliyopita
 
Huwa mna hizo hulka za kuzushia wazawa uraia kila wakionekana kuhoji hoji masuala ya utawala mbovu, kuna kipindi mlikua mnalazimisha viongozi wenu wakaonyeshe yalipo makaburi ya mababu zao kama yule sijui Jenerali Ulimwengu, sasa kajamba wa Tandale ambaye kwao kijijini hajawahi kupakanyaga ataishia kupakizwa kwenye lori na kupelekwa sijui wapi.
Kuna kipindi nyuzi zilifunguliwa na Watanzania sana kupinga hizo tabia Hii tabia ya kuwahoji watanzania uraia wao ikome
 
Huwezi kuwa na akili tumamu na usijue makaburi ya Babu zako yalipo au chimbuko la ukoo wako,
That’s the easiest way to identify wazamiaji kama nyie.
Hata Wewe najua upo Tz, tafuta hela zako enjoy life kisha ishia hapo, ukianza kutuchokonoa basi tutachokonoa uraia wako kisha tunakurejesha kiambu.
 
Hehehe huwa mnachekesha sana huko kwenu kwa kweli, sasa walalahoi wa Dar mlioganda hapo Tandale na wengine kwa Mpalange Buza hata nauli ya kufika mjini hauna, sasa kwenu sijui wapi huko maporini utajua wapi mababu zako walizikwa, ndio hulka za kuendeshwa kichuki chuki mnaishia kutesana wenyewe.
 
Kwani Tanzania hakuna wajaluo?

Wapo lakini wengi huwa hawatumii majina ya Kijaluo kama vile Odhiambo, Omollo maana wataishia kubaguliwa.
Kunaye mmoja mwanajukwaa humu hutumia jina la Odhiambo cairo nimewahi kuona anahojiwa uraia wake humu humu tena kwa matusi kisa jina kwenye majukwa yao ya siasa.
 
Wengi wanatumia majina yao ya Kiluo. Hapo ndiyo utaona ujinga wa uraia bandia uliotengenezwa na wazungu kama Tanzania, Kenya, Uganda n.k.

Waluo wote wa Uganda, Tanzania na Kenya ni ndugu lakini Mzungu akawapa utambulisho tofauti.
 
Back
Top Bottom