Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,987
- 20,271
ebana habarin za wakati huu,
mara nyingi xana hujiuliza juu ya kupokea cm ya mwenz wako lakin cpt jibu, kimbwanga hicho kimemkuta rafiki angu wa karibu xana, nibaada ya kuwa akimpigia cm aliyekuwa mpenzi wake ili waweke mambo =, anajikuta anaongea na njemba ikitoa matusi mithiri ya mzoga damponi na ii inatokea anapotumia laini yake, msela kanitaka ushauri kiukweli nimeshndwa.
kwaupande wa msela mwenye kupokea cm ana2mikishwa au ni sehemu ya mapenzi?
Hivi kweli Taifa ndio lina watu kama huyu asiyejua lugha ya taifa halafu unajiita Mtazania?
Imeniuma sana kuona umechafua na kuidhihaki lugha yetu adhimu ya kiswahili!