Mzee Wa Rubisi
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,757
- 437
Ndg waungwana nipo kwenye bus la super champion linalokwenda Dodoma nusura litubwage baada ya kupasuka Tairi la mbele likiwa kwenye mwendo kasi
pole sana mkuu
GOD will lead you
maeneo ya ajali ni kuvuka chalinze