Aliko Dangote now richest african, Tanzania hatuwasaidii wazawa wetu kuwa matajiri.

Mzee2000

JF-Expert Member
Aug 7, 2009
527
221
Kutoka kwenye data za Forbes zilizochapishwa mwezi huu, Mnigeria Aliko Dangote sasa ni muafrika tajiri kuliko wote, utajiri wake ni bilioni 13.8 billion as of March 2011, na ranking yake ni 51st Duniani.

Just imagine, ingawa Nigeria ni 'Third world' utajiri wa dangote unazidi hata wa richest wa uingereza , Duke of Westminster (Gerald Cavendish Grosvenor) ambaye utajiri wake ni $13 billion. Vile vile Utajiri wa Dangote unazidi kuongezeka, anajenga viwanda vya cement, karibu nchi 10 za afrika sasa, yeye ni biggest african investor in south afrika.

Uzuri wa huyu jamaa, anaweka pesa zake afrika, tru pan africanist!
 
Kama pesa yake haikuanzia kwenye wizi, madawa ya kulevya na maovu mengine anastahili pongezi.
 
Hata kama utajiri wake umeanzia wapi, sisi tunampongeza kwamba anawekeza Afrika ili waafrika wenzake wanufaike na kipaji chake. Kwani wangapi tumewaona wanayo hela chafu na wanaendeleza uchafu na hawaendelei? Songa mbele Aliko mdogo wangu.
 
So the end justifies the means???
 
Amempita yule msouth africa ambaye amewekeza kwenye migodi ya madini, na wale Egyptians wanao run Telecom Companies, good for him
 
Si rahisi kwa miaka hii kuwa bilionea kama hao wa forbes kwa mbinu za kina Manji, RA and EL

wat about Gadafis's Son? naskia ameficha pesa ya kutisha USA?? au ni wafanyabiashara tu ndio wanahesabiwa kuwa matajiri?
 
Kama pesa yake haikuanzia kwenye wizi, madawa ya kulevya na maovu mengine anastahili pongezi.

Dangote ameanzia kwenye import/ export business na kwa kutumia akili/business acumen amefikia pale alipo, sasa wewe ukimlinganisha na mafisadi wako Rostam, lowasa n.k unakosea.
 
Ndugu yangu siyo wafanyabiashara tu. Mwangalie uhuru kenyatta yumo nae. Kwa ajili ya ardhi.
 
dangote sio richest in Nigeria wala afirka....
kuna Mnigeria mwingine ndie top...
 
Kutoka kwenye data za Forbes zilizochapishwa mwezi huu, Mnigeria Aliko Dangote sasa ni muafrika tajiri kuliko wote, utajiri wake ni bilioni 13.8 billion as of March 2011, na ranking yake ni 51st Duniani.

Just imagine, ingawa Nigeria ni 'Third world' utajiri wa dangote unazidi hata wa richest wa uingereza , Duke of Westminster (Gerald Cavendish Grosvenor) ambaye utajiri wake ni $13 billion. Vile vile Utajiri wa Dangote unazidi kuongezeka, anajenga viwanda vya cement, karibu nchi 10 za afrika sasa, yeye ni biggest african investor in south afrika.

Uzuri wa huyu jamaa, anaweka pesa zake afrika, tru pan africanist!

Ufafanuzi kidogo hapo kwenye red, Billion 13 ni Tsh,USD,Pound or..... Mwakani 2012 Dangote atafungua kiwanda kikubwa cha cement Mtwara.
 
Aliko Dangote, Nigeria's First Billionaire
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom