Kimbley
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 3,050
- 2,103
Habari yako mama wa team no stress....
Kambi ya upande wa pili wanagharamia mituzo tuu
Ahahaha mie mzima team no stress mwenzangu!!wacha waendelee kutugharamia
Habari yako mama wa team no stress....
Kambi ya upande wa pili wanagharamia mituzo tuu
Davido ilimbidi Ku promote ile kazi maana ni yake Davido ft olamide inaitwa money na Davido kapotezwa ktk iyo track kwa mtazamo wng
naona ulikuwa unavumilia lakini umeshindwa ukaamua kuniita, mimi mbona nilishaachana na habari za kiba, diamond tangu wakati wa kampeni au ulijua natania
Sikuimanisha hyo ngoma mkuu,nilimaanisha ile post ya Davido kuhusu promo ya album ya Olamide.Point yangu kuu ni kwamba Davido hakuonesha kinyongo kwa mwenzie kushinda.
Davido ilimbidi Ku promote ile kazi maana ni yake Davido ft olamide inaitwa money na Davido kapotezwa ktk iyo track kwa mtazamo wng
Hivi kuna watu ni mashabiki wa mtu mpuuzi kma huyu..
Km alihisi anamtukan Diamond nahisi kasahau kwamb anawaaibisha hata waandaaji wenyew pamoja na wasanii wengine walioshinda..
BTW hivi Diamond ana hela sana kushijda kina Davido, Wizkid mpk anunue tuzo hiz, na km ananunuaga kilimshinda nin kununua za KTMA!
Msaada wa kisaikolojia unahitajika kwa huyu msanii. Serious!
Nimesikia hiki kijamaa kinasema yale maneno ilikuwa kwaajili ya mashabiki zake kwamba wanapoteza pesa kumpigia kura hahahaha hivi inaingia akilini kweli??
Yani alivyopost ujinga ule alikuwa anatafuta huruma ya mashabiki kwamba anahujumiwa kumbe kaingia choo cha kike
+kama anasema amegundua watu wanapoteza pesa kumpigia kura siku zote alikuwa anajuwa bando zinatolewa bure???
+Kukaa kwenye muziki zaidi ya miaka kumi leo ndio anagundua watu wanapoteza pesa kumpigia kura asigundue kwenye tuzo za pombe ambazo kila sms huwa inagharimu pesa taslim na sio kifurushi
LAZIMA WANYOOKE