Aliens hawaji tena Afrika kwa maana hakuna cha maana walichokikuta hapa

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,309
4,017
Tangu walipoonekana Zimbabwe, 1994, pale Ariel school in Ruwa hawa jamaa hawakuwahi kurudi tena.

View: https://youtu.be/axKevbEkDuE?si=zx3g5CeqjG4qPYJ4

Jamaa walishangaa ni jinsi gani less productive, less innovative na ill-minded watu walivyokuwa.

Walishangaa kuona mijitu ina ardhi kubwa isio na kitu huku priority yao kubwa kubishania na kuenzi dini walizoletewa na kwenda ugeni wa ngoma za jadi na harusi za kuongeza wake wapya.

Sisemi haya kwa ku-label aliens kwamba ni viumbe special sana ila naandika ukata walioukuta hadi wao kutorudi tena huku wakionekana sana sehemu za nchi zilizoendelea kiuchumi na teknolojia

View: https://youtu.be/3RlbqOl_4NA?si=wUJB_JUv-4kV_5Fz
 
Kwani malengo ya hawa aliens kuja katika uso wa dunia ni nini?
Kuleta teknolojia, kujifunza teknolojia, kutali na matembezi au kuiteka dunia ama huwa tu wanajikuta huku wakiwa wanataka kwenda sayari nyengine?
 
Wale hawakuja kuangalia maendeleo ya watu,
Walikuja kuchimba madini, angalia mapango ya amboni.
 
Back
Top Bottom