Ala Kumbe wanaweza kazi

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
306616_548032098544325_1604684663_n.jpg

KUMBE WAHESHIMIWA WANAWEZA HATA KAZI YA KUONGOZA MAGARI, ONA KATIKA PICHA HII MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO MJINI ABDULLAZIZ ABOOD NA KATIBU WAKE MOURICE MASALA WAKIMUONGOZA DEREVA WAO WAO BAADA YA KUKWAMA KATIKA MAWE KATA YA BIGWA MANISPAA YA MOROGORO WAKATI MBUNGE HUYO ALIPOWATEMBELEA WAPIGA KURA WAKE HIVI KARIBUNI.
 
Tuondolee ***** wako hapa , hii kazi hata mtoto wangu bryton ambaye ana miaka 5 anaiweza
 
You missed the point.
Nimeimis point ipi? Kwa mujibu wa picha yako imuonyesha mhe abood ha huyo katibu wake wanamuelekeza dereva ili aweze kulitoa gari ambalo limekwama kutokana na njia kuwa nyembamba au kuzibwa kutona mawe yaliyomwaga hapo.
Kwanza kabisa mi ni dereva, inaonyesha kabisa huyo dereva ni feki asingetakiwa kukwama sehemu kama hiyo manake hakuna utelezi dereva mzuri lazima ufocus mbele na ujue jinsi ya kupitisha gari, na pia hakukuwa na umuhimu wa huyo mbunge kushuka hapo, ingetakiwa dereva mwenyewe ashuku aangalie mazingira na jinsi gari lilivyokwama zeni arudu kwenye usukani alitoe.
Sijaona cha kumsifu huyo mbunge kwa kufanya kitu ambacho hata mtoto wangu anaweza.
ungetakiwa kumsifia kwa kusimamia utengenezaj barabara vizuri kiasi cha kwamba yeye asingetakiwa kukwama hapo.
ungetakiwa kumsifia mbunge wako huyo kwa kuthibiti uharibifu wa mazingira unaofanywa kwenye mlima uluguru.
Na sio small childish accomplishment like that.
Any way naomba niambie pointt niliyoimiss
 
mbona povu linakutoka hvyo?
 
nimeimis point ipi? Kwa mujibu wa picha yako imuonyesha mhe abood ha huyo katibu wake wanamuelekeza dereva ili aweze kulitoa gari ambalo limekwama kutokana na njia kuwa nyembamba au kuzibwa kutona mawe yaliyomwaga hapo.
Kwanza kabisa mi ni dereva, inaonyesha kabisa huyo dereva ni feki asingetakiwa kukwama sehemu kama hiyo manake hakuna utelezi dereva mzuri lazima ufocus mbele na ujue jinsi ya kupitisha gari, na pia hakukuwa na umuhimu wa huyo mbunge kushuka hapo, ingetakiwa dereva mwenyewe ashuku aangalie mazingira na jinsi gari lilivyokwama zeni arudu kwenye usukani alitoe.
Sijaona cha kumsifu huyo mbunge kwa kufanya kitu ambacho hata mtoto wangu anaweza.
Ungetakiwa kumsifia kwa kusimamia utengenezaj barabara vizuri kiasi cha kwamba yeye asingetakiwa kukwama hapo.
Ungetakiwa kumsifia mbunge wako huyo kwa kuthibiti uharibifu wa mazingira unaofanywa kwenye mlima uluguru.
Na sio small childish accomplishment like that.
Any way naomba niambie pointt niliyoimiss

acha tu mwana huwezi jua labda jamaa ni mpiga debe pale stand msamvu
 
Nimeimis point ipi? Kwa mujibu wa picha yako imuonyesha mhe abood ha huyo katibu wake wanamuelekeza dereva ili aweze kulitoa gari ambalo limekwama kutokana na njia kuwa nyembamba au kuzibwa kutona mawe yaliyomwaga hapo.
Kwanza kabisa mi ni dereva, inaonyesha kabisa huyo dereva ni feki asingetakiwa kukwama sehemu kama hiyo manake hakuna utelezi dereva mzuri lazima ufocus mbele na ujue jinsi ya kupitisha gari, na pia hakukuwa na umuhimu wa huyo mbunge kushuka hapo, ingetakiwa dereva mwenyewe ashuku aangalie mazingira na jinsi gari lilivyokwama zeni arudu kwenye usukani alitoe.
Sijaona cha kumsifu huyo mbunge kwa kufanya kitu ambacho hata mtoto wangu anaweza.
ungetakiwa kumsifia kwa kusimamia utengenezaj barabara vizuri kiasi cha kwamba yeye asingetakiwa kukwama hapo.
ungetakiwa kumsifia mbunge wako huyo kwa kuthibiti uharibifu wa mazingira unaofanywa kwenye mlima uluguru.
Na sio small childish accomplishment like that.
Any way naomba niambie pointt niliyoimiss

The point is, this is the work he is supposed to do and not the otherwise.
 
Kwangu mimi issue muhimu ni kwanini mbunge anabandika bendera ya Taifa katika gari...na si gari kukwama au kuongozwa kutoka ilipokwama...
 
The point is, this is the work he is supposed to do and not the otherwise.
If this is the work for the MP (kushuka na kuongoza gari lake lililokwama), It is nonsense to have them,
To me MP should work hard to ensure that all roads in his or her constituency is passable through out the year.
Ndio maana hii nchi haiendelei kukaa na kupost vitu vya kijinga kama hivi, wewe lazima utakuwa ni kuwadi wa huyu MP sijui anakukulaga tigo, manake waarabu si mchezo.
Unamsifia kitu cha kijinga,pumbafu mkubwa we. acha kutumika kisenge.Watu tunalalamika wengi wa hawa MP's wanalipwa fedha nyingi kupitia kodi tunazolipwa na they perform very poor. Na wewe unashabikia poor performance yake.
Angekuwa mbunge mahiri jimbo kwa muda aliokuwa madarakani jimbo lake lote lingekuwa linapitika vizuri bila haja ya yeye kushuka na kuanza kuongoza gari. Kazi ambayo naendelea kusisitiza hata mwanangu mdogo wa miaka 5 angeweza kuifanya vizuri.
Samahani kama nitakuwa nimekukwaza kwa lugha, ila umeniudhi sana.
 
mbona povu linakutoka hvyo?
Sitokwi na povu lolote ila nachangia ukweli, siwezi kushabikia ujinga kama huu. Embu acha kuwa kuwadi na wewe. Na wewe unakuwa kama wale watu ambao marehemu Prof Chachage anawaita makuwadi wa soko huria.
 
acha tu mwana huwezi jua labda jamaa ni mpiga debe pale stand msamvu
Poa bro, lazima jamaa atakuwa mpiga debe hapo stand au deiwaka wake kwenye viwanda vyake, mtu mwenye akili zake timamu hawezi kuposti ujinga kama wake.Shame on her
 
Nakumbuka nilialikwa Zenji-Pemba ku-present kadhia hii ilimchelewesha RC mpaka anawasili bado dk 4 adhana..........niliishia kusalimia tu..........
 
Back
Top Bottom